Lulu na tuhuma za Ulevi baada ya kupigwa chini na Majizo

Lulu na tuhuma za Ulevi baada ya kupigwa chini na Majizo

Kwa ndegi itakuwa alienda kusali kwa muda mfupi sana yani kwa kupita tu.
Maana kuna mtu anaesali Sali kwa Ndegi anasema hajawahi muona Lulu akisali pale kwa Ndegi kwa miaka 3 ya hivi karibuni hadi sasa.
 
Ila kuna wanaume wanajua kujilipua jamani khaaaaa!

Madenm wa huyo Majay huwa ni wa aina flani sijui na yeye ni wa hivyo labda kwa historia?!

[emoji87][emoji87][emoji87]
 
Lulu ni lazima awe na stress, Majay aliwabeba yeye, mama na mdogo wake kama familia yake. Hata mama Lulu haonekani kwenye grocery vya pombe asubuhi sikuhizi

Mwez uliopita nilimuona maeneo y bahar beach asubuh anakunywa pombe na shoga zake , kajichubua kama andazi la juzi mama lulu
 
Kama ameachana na majizo sishangai yeye kulewa. Kulewa ndo katabia kake sema majizo alikuwa anamlinda sana na kumtengeneza aonekane wa heshima.
Sasa wameachana karudi alipotoka.
Mtoto mlevi sana huyu!
 
Pole sana Lulu,

I understand you,kama umekua mlevi Zaidi

ni kutaka kujaribu ku block the pain,escape the harsh reality....

Zingatia masomo mwaya...

si unaona kule love connect wanataka mke Msomi...??

sasa uwe mlevi,shule haipo..soko linashuka.. 😛😛😛😛😉😉😉🙄🙄🙄
Nafkri atakuwa ameshamaliza kusoma nilisoma naye pale CHUO CHA UTUMISHI.
 
nasema hiviiiiiiiii MAJAY na LULU wakiachana na pete za uchumba na mahari washalipiana ndo Nitaamini UCHAWI UPO...
 
Lulu sijawahi kukapenda haka kasichana.................

Ila hata hivyo nacho hakikusoma alama za nyakati kabisa............ Makonda hawezi simamia kitu chochote kikafanikiwa kwa kweli anadhani yeye anaweza mlazim0sha Majizzo kumwoa Lulu?Pyuu
 
wanaume wote waliopiga lulu, kuanzia kanumba, mzee wa iyena, yule aliyefia kifuani mwa lulu, yule aliyeimba nanii mbele kwa mbele, majizo, diamond, alikiba, mbwana sammata, ruge, wote unaambiwa hakuna aliyewahi mfikisha mtoto kileleni, sasa wewe na stress zako akikohoa tu si dushe inachomoka.
Samatta nae ndani?
 
Back
Top Bottom