Lulu na tuhuma za Ulevi baada ya kupigwa chini na Majizo

Lulu na tuhuma za Ulevi baada ya kupigwa chini na Majizo

Kama ameachana na majizo sishangai yeye kulewa. Kulewa ndo katabia kake sema majizo alikuwa anamlinda sana na kumtengeneza aonekane wa heshima.
Sasa wameachana karudi alipotoka.
Mshale kurudi polini ndio asili yake..
 
Usiku wa jana Binti Elizabeth michael, Lulu alikuwa insta live akiwa amelewa, inasemekana kwa sasa amekuwa mtu wa stress baada ya kupigwa chini na mpenzi wake Majay

View attachment 1150619
Duuuuh

 
Back
Top Bottom