Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #21
Na hii instagram ndo inawafanye wazid kukopa...
Tusimsahau na Kaputeni Komba naye alishindwa kulipa deni. Sina uhakika kama uhusiano na hao wadeni sugu
Tatizo wanapenda sana mambo makubwa na kujionesha kusipokuwa na faida yoyote
leta zako za ukweli. Nyie kopeni tu bila kulipa kuna siku mtabandikwa kwenye mbao za matangazo za manispaa shauri yenu
Mimi najua Lulu na Wolper hawawezi kudaiwa madeni ya saluni na nguo.
Lete evidence......!!!!
unaambiwa wakati mwingine wanapewa za kufanyia matangazo...sasa mwingine akiona hivyo anajua ndio maisha anaiga kumbe ni mikopo na matangazo
wewe ni wolper au lulu. Huna haja ya kujitetea ILA ndo hivyo. Kwa masikio yangu nimewasikia wenye saluni na maduka Yao wakilalamika. Upo hapo???
Hivi kuuza K siku hizi ni status? thibitisha wewe hapa kama hawadaiwi usituletee hadithi za rejareja kama kibogoyo.Sasa mtu kusikia analalamika ndo kunakufanya uanzishe thread kuwakashifu wanawake wenzio?????
Hapo hakuna evidence bali ni rumours tu.
Mods ebu ondoeni hii thread plzzzz.
Status ya Lulu au Wolper ni kubwa mno na cyo ya kudaiwa vi laki tano vya saluni na maduka ya nguo.
Hivi kuuza K siku hizi ni status? thibitisha wewe hapa kama hawadaiwi usituletee hadithi za rejareja kama kibogoyo.
Sasa mtu kusikia analalamika ndo kunakufanya uanzishe thread kuwakashifu wanawake wenzio?????

Wolper ana status gani nchini
We usiefwatilia ya watu unafanya nini hapa?ulieketa mada mwenyewe unaishi kwa mkopo hivyo uko kutafuta wafuasi wako na it sims huna majukumu ya kukukeep busy aisee maana usingepata mda wa kufatilia maisha ya mtu
Sasa mtu kusikia analalamika ndo kunakufanya uanzishe thread kuwakashifu wanawake wenzio?????
Hapo hakuna evidence bali ni rumours tu.
Mods ebu ondoeni hii thread plzzzz.
Status ya Lulu au Wolper ni kubwa mno na cyo ya kudaiwa vi laki tano vya saluni na maduka ya nguo.
Wolper is the best Actress in Tanzania.[/QUOTE
Kumbe status ya umaarufu sio financial status
Hivi mbona unaoenda kushuhudia uongo mdau?????
Wapo wanawake wanaouza K lakn si Lulu na Walper.
Mama yangu weeeeeeeee!!
Hivi wewe unaishi mji gani? hawa siyo kuuza K tu hata tigo wanauza
hahahahaha shikamoo kamanda