ni meneja wa branch
Kwelii?? Mbona umesema anakopaga kucha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni meneja wa branch
Toka awe na baba ubaya hatujasikia akiwatunza wasanii jukwaani kawa mpole kweli
Mbona Sie Tukiwakopa URODA wanakuwa Wakali..
Kwelii?? Mbona umesema anakopaga kucha!
hehehe branch imefungwa amebaki bench so anaona aibu hata kufanya ufreelancer
kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba
tena wolper naskia anafanya kujitongozesha kwa wauza sembe ili walau ahongwe...chezea mji wewe
wewe ni wolper au lulu. Huna haja ya kujitetea ILA ndo hivyo. Kwa masikio yangu nimewasikia wenye saluni na maduka Yao wakilalamika. Upo hapo???
Saluni gani na duka gani?
Akishakutajia,uende ukawasute au kuwalipia madeni??
Akishakutajia,uende ukawasute au kuwalipia madeni??
Nimekuuliza wewe au kinakuwasha? unashabikia wivu
hahahahaaaaaaa..!!
vp tena!!
msumari huooo...!
umewachoma wasaniii!!!
fekero!
Nawewe uliyeuliza umesemwa wewe au ni kiherehere cha kwapa??
Nawewe uliyeuliza umesemwa wewe au ni kiherehere cha kwapa??
Akishakutajia,uende ukawasute au kuwalipia madeni??
Sasa mtu kusikia analalamika ndo kunakufanya uanzishe thread kuwakashifu wanawake wenzio?????
Hapo hakuna evidence bali ni rumours tu.
Mods ebu ondoeni hii thread plzzzz.
Status ya Lulu au Wolper ni kubwa mno na cyo ya kudaiwa vi laki tano vya saluni na maduka ya nguo.
Nimeuliza kwa sababu ya kutafuta uthibitisho juu ya huu uzushi uliojaa wivu,ujinga,unafiki na uchawi....mie nna kiherehere cha pumb ukitaka sema nikuchape nao.