Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia Wolper na Lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao.

Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza muda Sana Binafsi nilijua wanasingiziwa ila nimakuja kuikuta topic ya wakopaji sugu kwa Sintah na Lulu na Wolper weongoza.

Kuna kipindi Joan alitaka kuwaanika wadaiwa sugu na miongoni mwao Wolper asingekosekana.
Mnajisifia no fake zone kumbe ni mikopo tena kulipa mbinde??

Kukopa kupo kwani hata serikali ya Tanzania inakopa ila ikizidi tena kwa star Kama nyie alafu hamlipi inakuwa haipendezi.
 
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia wolper na lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao. Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza muda Sana Binafsi nilijua wanasingiziwa ila nimakuja kuikuta topic ya wakopaji sugu kwa sintah na lulu na wolper weongoza.
Kuna kipindi Joan alitaka kuwaanika wadaiwa sugu na miongoni mwao wolper asingekosekana.
Mnajisifia no fake zone kumbe ni mikopo tena kulipa mbinde??
Kukopa kupo kwani hata serikali ya Tanzania inakopa ila ikizidi tena kwa star Kama nyie alafu hamlipi inakuwa haipendezi.

Hizi habari si za kweli kabisa.
 
Tusimsahau na Kaputeni Komba naye alishindwa kulipa deni. Sina uhakika kama uhusiano na hao wadeni sugu
 
Chezea insta kila siku unataka uoknekane una nguo mpya na style mpya ya nywele upate madeni lazima yakuandame
 
uyo wolper yule bwana ake rais wa ununio saiv yupo juu ya mawe!
 
Mimi nilidhani wolper kumbe hadi lulu?
 
Show off character za kipuzi huko instagram zina wa cost badala ya kufanya ya maana wanakopa eti nguo sijui saloon na umri hauwasubiri kutokutumia akili ya ziada ni shida
 
Tatizo wanapenda sana mambo makubwa na kujionesha kusipokuwa na faida yoyote
 
Back
Top Bottom