Lulu, Nando wa BBA mambo hadharani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mambo hadharani ! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu ' na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Muigizaji katika tasnia ya Muvi Bongo, Elizabeth Michael ' Lulu. Kabla ya wawili hao kufunguka , kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ' wanachepuka ' mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu .

Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo , jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini. Mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013 , Amir Nando. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo , gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke
anayefaa kuolewa ( wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo .

Nando akifunguka kuhusu uhusiano wake na Lulu . Kushoto ni Sifael Paul. "Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu na napenda kazi zake. Huwa ni mtu ambaye napenda kufuatilia ishu zake ," alisema Nando. Kwa upande wake Lulu alishtuka na kudai kuwa aulizwe huyohuyo Nando na si yeye kwani haoni sababu ya yeye kuulizwa.

Alifunguka : "Hebu muulizeni Nando kama ni Lulu mimi au mwingine ? Yeye akishatoa jibu sina la kusema . "
 

Attachments

  • 1402301043201.jpg
    43.2 KB · Views: 5,545
hmmmm! nishamkumbuka kanumba tayari!

jamaa alikakuza sana haka katoto...!!!


 
Atapata kesi nyingine Lulu,,,ashampiga chini Mh.Captain asiendesha Meli?
 
Hivi nando naye yupo.. Nilikuwa nishamsahau kabisaa.
 
Huyu mtoto alikuwa anambebaje komba kwenye kifua!
 
Mkuu viol, unauliza huyu mtoto alikuwa anambebaje mheshimiwa! Kwani anambeba na mikono?
 
kwaiyo anamlipizia bwana joni ama? "joni its over"
 
Nando hajawai kuishi na gilfriend ni player tu yule labda alikuwa anajifurahisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…