Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Hivi nando naye yupo.. Nilikuwa nishamsahau kabisaa.
ametafuta kick..kaipata sasa..magazet yamemkumbuka tena..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nando naye yupo.. Nilikuwa nishamsahau kabisaa.
ametafuta kick..kaipata sasa..magazet yamemkumbuka tena..
Komba anapiga style ya kupakata kama mwanangu machemli
Komba anapiga style ya kupakata kama mwanangu machemli
Aaah aah mbona mi nilisikia et ana mguu wa mtoto? , maana kuna hotel anapendag sana kwrnda ipo sinza opposite na mliman, jina nimesahau
kweli pesa noma mzee kakaa umbo la tufe la ramani ya dunia ila anakula vimwana sexy
hahahaaa.. haya maisha ya rise and fall ni shiddaaah
Nando hajawai kuishi na gilfriend ni player tu yule labda alikuwa anajifurahisha tu