Lulu nje kwa dhamana vipi shekh ponda na wenzie kunanini hapo

Lulu nje kwa dhamana vipi shekh ponda na wenzie kunanini hapo

Status
Not open for further replies.

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
364
Reaction score
31
Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya waislamu waonekane wabaya
"ponda aachiliwe kosa lake halijulikani na lulu nae vipi"
 
Kwani kulikuwa na makubaliano akipewa dhamana lulu ponda naye apewe? Heri mimi mpagani !
 
acha udini wewe, kuna watu wangapi wapo huko na kesi zao hazijashughulikiwa?...
 
daaah upele. Kwa hiyo yote aliyofanyiwa lulu na ponda naye afanyiwe
1. Lulu alisukwa nywele
2. Alipakwa angel face kila mara alipo kua anakuja mahakamani
3. Alikaa lupango miezi saba
4.
5.
6.....
 
Last edited by a moderator:
Lulu is harmless while Ponda is harmful. Acha apoe kwanza maana alijifanya anajua kuliko wengine. Nadhani akitoka huko unywanywa wake utakuwa umemtoka kama siyo kukoma kabisa. Kwanini kutafuta umaarufu kwa njia chafu na hatari? Anacheza na ndoa ya BAKWATA na Lisirikali siyo? Ponda endelea kusota hadi Allah atakapokusikia na kukutoa huko kimiujiza.
Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya waislamu waonekane wabaya
"ponda aachiliwe kosa lake halijulikani na lulu nae vipi"
 
Tatizo la ponda ana kesi nyingi za kujibu,wamefufua hadi kesi zake za kuiba sendoz misikitini enzi zile.
 
Kwa sababu LULU ana akili kuliko PONDA...
 
Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya waislamu waonekane wabaya
"ponda aachiliwe kosa lake halijulikani na lulu nae vipi"

Kuna uhusuano gani kati ya kesi ya ponda na lulu? Na kwanini uhusishe mambo ya lulu na ya ponda, kwani hakuna watuhumiwa wengine?
 
Tatizo la ponda ana kesi nyingi za kujibu,wamefufua hadi kesi zake za kuiba sendoz misikitini enzi zile.

JAMANI HII MADA ISOGEZWE MBELE MPAKA J.PILI,KARIBUN TAREHE 3.2.2013 KUNA MKUTANO KABAMBE PALE VIWANJA VYA MWEMBEYANGA, TEMEKE. MASHEIK PIA WANAZUONI MAHILI WATAKUWEPO WAKILISHAMBULIA JUKWAA JUU YA NINI? ITAFAHAMIKA SIKU IYO, MBIVU NA MBICHI ZTAJULIKANa SIKU IYO NATMAI MASUALA YA SHEIKH PONDA YATAWEKWA HADHARAN. LULU NA UCHINVI WAKE HAVITAPEWA NAFASI SIKU IYO
 
nakuambieni Sheikh Ponda akitoka ameomba kubatizwa na kuwa mkatoliki,na kishaahidiwa mtaji wa biashara na tetesi zinasema anapendelea kuanzisha bar na jiko la supu ya kitimoto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom