Ndiyo maana kuna baadhi ya wapinzani wanasema majaji wengi wa Kikwete ni vilaza. Utamfunguliaje mtu mashitaka kama hakuna ushahidi tosha? Bongo hii, tunaishi basi tu.
hilo sio kosa la majudge ni uzembe wa upande wa mashtaka na ukumbuke hii case ina public interest..kwa hiyo upande wa mashtaka unajua unachofanya