Ndiyo maana kuna baadhi ya wapinzani wanasema majaji wengi wa Kikwete ni vilaza. Utamfunguliaje mtu mashitaka kama hakuna ushahidi tosha? Bongo hii, tunaishi basi tu.
Maskini, ujana wake unapotea tu huko ndani. So unfortunate!
Pole sana Lulu,yaliyokukuta ni mazito ila shukuru Mungu ana makusudi kwa kila jambo!Mrudie Mungu wako nae atatenda!ndio lililobakia!
Kwa nchi za wenzetu nadhani angeachiwa huru kabisa , maana wenzetu huwa hawana muda wa kuendesha kesi za kusadikika zisizo na ushahidi kama hii ya Lulu ambayo mwisho wa kesi hii hukumu yake itakuwa Lulu kuachiwa huru.
Sasa hivi na swala la muda kujuwa Lulu ni lini ataachiwa na Mahakama Kuu, kwa mfumo wa Tanzania kuuwa bila kukusudia wala siyo kesi ndio maana Ditopile walimsevu kumpa hii hili baadaye ashinde wakati ukweli ni kwamba Ditopile aliuwa kwa kukusudia.
Japo namuonea huruma, lakini mnakumbuka wanajeshi watatu waliohukumiwa kifo kwa kuhisiwa wamemuua mtoto wa Fundikira kama mwezi umepita sasa? Walikuwa ni watu wa mwisho kuwa na marehemu na hakukuwa na evidence concrete zaidi ya hiyo. Mimi sio mwanasheria, lakini tunayaona sana hayo.
Mkuu hapo ni tatizo la majaji au waendesha mashitaka?Ndiyo maana kuna baadhi ya wapinzani wanasema majaji wengi wa Kikwete ni vilaza. Utamfunguliaje mtu mashitaka kama hakuna ushahidi tosha? Bongo hii, tunaishi basi tu.
hajaepuka adhabu ya kunyongwa, hajawahi kuwa convicted.
Magazeti yetu yanatuandikia madudu.
Walichokua wanafanya ni ku buy time ili wananchi wasahau sahau,maana wananchi walikua wanahasira kali kweli na lulu,wangemmaliza mtaani.
Wamekimbiza kimbiza kakesi kidogo ili wananchi waone kua anashurutishwa, its just a matter of time before u see her soon on the streets. TANZANIA OYEEEEE!!
Nimefurahi kesi hii imekuwa ikiendeshwa kwa kasi ya ajabu sana sijui ni kwa maslahi ya nani ukilinganisha na kesi nyingi za mauaji, Sinashaka ripoti ya madaktari imeshamuepusha na mkono wa jela...tunajua mahakama haipendi maongeleo ya mambo ambayo hayajaamuliwa ila kwa hili liko dhahiri, ni sinema kidogo ili watu waonekane wapo siriasi mwisho wa siku yale yale...
Kwanini Mkuu?Duh! Something fishy behind smells...
Nakiri kutofatilia shauri hili, ila nafikiri ni mapema sana DPP kufanya hivyo, japo kuwa sheria inamruhusu na kumpa mamlaka hayo, still iko kwenye committal proceedings... Anyways, labda ushahidi umekamilika na hautoshi kumtia hatiani...ila naona ni mapema sana!! Na kuna mashauri mengi tu ya vifo vya utata, ila hayatolewi nolle mapema hivi...Kwanini Mkuu?
Ukweli mtupu CounselNakiri kutofatilia shauri hili, ila nafikiri ni mapema sana DPP kufanya hivyo, japo kuwa sheria inamruhusu na kumpa mamlaka hayo, still iko kwenye committal proceedings... Anyways, labda ushahidi umekamilika na hautoshi kumtia hatiani...ila naona ni mapema sana!! Na kuna mashauri mengi tu ya vifo vya utata, ila hayatolewi nolle mapema hivi...
Hapa mi mujini sio mjini