Na kimsingi hilo lungu alilopewa DPP ni kubwa mno... la kuweza kuondoa au kubadiri shitaka mahakamani???!! daah! Itabidi tulipigie kelele, limekaa kikoloni zaidi. Na bahati mbaya likimkuta DPP kichwa kibovu... Mmmmhh!Ukweli mtupu Counsel
Hatimaye Mkurugenzi wa Mashtaka nchini,Eliezer Feleshi Mbuki (sasa naye Wakili),amembadilishia shtaka Msanii Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu kutoka kuua kwa kukusudia hadi kuua bila ya kukusudia. Lulu anashtakiwa kwa kumuua Msanii mwenzakwe Marehemu Srtephen Kanumba.
Jambo kama hilo lilifanywa pia katika kesi ya Marehemu Kapteni Mkiwaona Ditopile Mzuzuri aliyekuwa akishtakiwa kwa kumuua dereva wa daladala kwa kumpiga risasi.
Hii ndio kusema,sasa mlango wa dhamana kwa Lulu uko wazi kwakuwa kosa analoshtakiwa kwalo si kati ya yale yasiyo na dhamana. Sinema hii ndio inaelekea patamu
Nakiri kutofatilia shauri hili, ila nafikiri ni mapema sana DPP kufanya hivyo, japo kuwa sheria inamruhusu na kumpa mamlaka hayo, still iko kwenye committal proceedings... Anyways, labda ushahidi umekamilika na hautoshi kumtia hatiani...ila naona ni mapema sana!! Na kuna mashauri mengi tu ya vifo vya utata, ila hayatolewi nolle mapema hivi...
Akitoka ntatamani nimuone. Atakavyokuwa mpole. Ataheshimu kila mtu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wewe kwa maoni yako unadhani lulu atakuwa alikusudia kumuua kanumba?Hatimaye Mkurugenzi wa Mashtaka nchini,Eliezer Feleshi Mbuki (sasa naye Wakili),amembadilishia shtaka Msanii Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu kutoka kuua kwa kukusudia hadi kuua bila ya kukusudia. Lulu anashtakiwa kwa kumuua Msanii mwenzakwe Marehemu Srtephen Kanumba.
Jambo kama hilo lilifanywa pia katika kesi ya Marehemu Kapteni Mkiwaona Ditopile Mzuzuri aliyekuwa akishtakiwa kwa kumuua dereva wa daladala kwa kumpiga risasi.
Hii ndio kusema,sasa mlango wa dhamana kwa Lulu uko wazi kwakuwa kosa analoshtakiwa kwalo si kati ya yale yasiyo na dhamana. Sinema hii ndio inaelekea patamu
mimi niambie kulisha kuku na kulima mboga ntkuelewa .filamu, muziki ,tv mbali sana na mie niliposikis lulu niligoogle ndio nikamjua ,sharo milionea hata nilikuwa simjui niligoogle na nikamendea kuona lile tangazo .watching sio fan yanguna unavyompenda lulu, unatamani kweli atoke ili uendelee kutazama filamu zake!!
Mwongo wewe, avata yako yenyewe inaonyesha kuwa wewe ni mtu wa tom and Jerry kwa sana, au hiyo nayo unaangaliaga kwenye ndoo za maji ya kuku?mimi niambie kulisha kuku na kulima mboga ntkuelewa .filamu, muziki ,tv mbali sana na mie niliposikis lulu niligoogle ndio nikamjua ,sharo milionea hata nilikuwa simjui niligoogle na nikamendea kuona lile tangazo .watching sio fan yangu
Sio mbaya,kwa muda aliokaa mahabusu sijui rumande, angalau atakua amejifunza kitu! Upepo ulikua unaelekea huku kwenye kuua bila kukusudia!
unamaana akienda moro anaweza kupitiliza baada ya swala ya asubuhi!!!Atachoropoka huyoooo....