Mimi sioni kama kuna ukiukwaji wa sheria uliofanywa na Mkurugenzi wa Mashtaka, mshtakiwa hufunguliwa shtaka kulingana na ushahidi uliopo, kama DPP hana ushahidi unaoweza kuthibitisha kwamba Lulu ameua kwa makusudi na aliua bila ya kukusudia kuna haja gani ya kuendelea kumshtaki Lulu kwa mauaji ya kukusudia. Ukiangalia jinsi tukio lenyewe lilivyotokea ni wazi kwamba kuna ugumu kwa DPP kuweza kuthibitisha mauaji ya kukusudia. Ni mamlaka yake na nakubaliana nae kwa kitendo hichi cha kubadilisha shtaka. Hakuna mamlaka yoyote ya Mahkama yaliyoingiliwa hapo.

mkuu unajua nguvu ya forensic pathology kwenye mambo kama haya?ile postmortem ilifanyika kabla ya lulu kushtakiwa iweje katikati ubadilishe hati ya mashtaka?Mimi sioni kama kuna ukiukwaji wa sheria uliofanywa na Mkurugenzi wa Mashtaka, mshtakiwa hufunguliwa shtaka kulingana na ushahidi uliopo, kama DPP hana ushahidi unaoweza kuthibitisha kwamba Lulu ameua kwa makusudi na aliua bila ya kukusudia kuna haja gani ya kuendelea kumshtaki Lulu kwa mauaji ya kukusudia. Ukiangalia jinsi tukio lenyewe lilivyotokea ni wazi kwamba kuna ugumu kwa DPP kuweza kuthibitisha mauaji ya kukusudia. Ni mamlaka yake na nakubaliana nae kwa kitendo hichi cha kubadilisha shtaka. Hakuna mamlaka yoyote ya Mahkama yaliyoingiliwa hapo.
katika watu ambao wana power kubwa ktk nchi zetu za dunia ya tatu basi ni DPP, its unbelievable yeye anaweza kuamua kumshtaki au kutomshtaki mtu yoyote alafu funny enough hakuna wa kumuuliza!!!!
Akitoka ntatamani nimuone. Atakavyokuwa mpole. Ataheshimu kila mtu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hongera zake mtoto. atakuwa ameshakuwa sasa
Atachoropoka huyoooo....
hivi kwa mfano mtu amemfumania mkewe akiliwa uroda na njemba nyingine halafu akaiua hiyo njemba inakuwa kuua bila kukusudia au kukusidia?