by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
hiyo inaitwa ganda la ndizi limeangusha scania dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....
Purukushani gani! ugomvi? fumanizi? au marehemu alitaka kutumia advantage against kamwili kadogo ka lulu comes lo!lo!
Mdogo wake kanumba anasema ali slide,Inaonekana chumba hicho kina tiles.Alafu pia jamaa alikua ametoka bafuni.Kwa hio lazima miguuni kutakua na majimaji au unyevu fulani,Kuteleza ni rahisi.Ukiteleza na kuangukia kisogo ni rahisi sana kufa usipopata huduma haraka.Mimi nilishawahi kuteleza bafuni nikaangukia kisogo ,nikawa nimezimia.Niliwahishwa hospitali ikawa salama yangu.Kanumba kuna uzembe umefanyika kutokumwahisha hospitali.
Namwonea sana huruma LULU.Mungu atamsaidia
Oh hapana, naomba kutofautiana nawe. Lulu alikuwa sahihi kabisa kujiwekea lengo bora, nalo ni la kudhamiria kutenda mema, kumrudia Mungu wake na kujitafakari kipindi chote cha Kwaresma. Kushinda na kushindwa ni sehemu ya ubinadamu hata Mt. Paulo aliwahi kulalamika kwamba mara nyingine alijikuta kutenda kinyume cha dhamira zake na Yesu mwenyewe alishawahi kusema "Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu". Pamoja na kushindwa alikuwa na nia njema. Tena isitoshe kama mmoja wetu alivyomkebehi humu kwamba alibakiza siku moja tu! Je hizo siku thelathini na ushee kama alijizuia zitapotea tu?Nimeanza kufunga tangu Februari 22, mwaka huu, hivyo sitarajii kwenda sehemu za starehe hadi nimalize kipindi hiki cha Kwaresma.Mwaka huu nina malengo mengi ninayohitajika kuyatimiza, hivyo lazima nimuombe sana Mungu,' alisema LULU
Wana JM maneno niliyo Bold sina uhakika kama LULU aliweza kumaliza kipindi chote cha kwaresma bila kwenda kwenye starehe. My point tusipende kutamka na kuweka nadhiri kwa Mungu halafu tunashindwa kutekeleza matokeo yake ni mabaya sana bora kukaa kimya