Lulu: Sijawahi kuwa mweusi, rangi ya Mtume nimezaliwa nayo

Lulu: Sijawahi kuwa mweusi, rangi ya Mtume nimezaliwa nayo

Hiyo picha ina uzamani gani?Aweke ya utoto ndio tupime kama kuna ukweli sio hiyo ambayo alikua ameshaanza kubanjuka na Kanumba.

Hakakua keusi..ila pia hakakua keupe
 
Atakuwa kaona picha ya yesu huyu maana yesu nai ni mweupe
 
Mungu weeeeeeeeehhhh hiki kitoto kinakoelekea sijui kwakweli!
 
Back
Top Bottom