mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,210 Feb 1, 2015 #21 nifah said: Hiyo picha ina uzamani gani?Aweke ya utoto ndio tupime kama kuna ukweli sio hiyo ambayo alikua ameshaanza kubanjuka na Kanumba. Click to expand... Hakakua keusi..ila pia hakakua keupe
nifah said: Hiyo picha ina uzamani gani?Aweke ya utoto ndio tupime kama kuna ukweli sio hiyo ambayo alikua ameshaanza kubanjuka na Kanumba. Click to expand... Hakakua keusi..ila pia hakakua keupe
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 364 Feb 2, 2015 #22 Atakuwa kaona picha ya yesu huyu maana yesu nai ni mweupe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 2, 2015 #23 Wabongo banaaa...
N Nzovwe yetu Senior Member Joined Feb 5, 2014 Posts 128 Reaction score 37 Feb 2, 2015 #24 Kwa Mbaaaaaaaaaaliiiil,Kafanana Na Mtume Wake KANUMBA
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 2, 2015 #25 Mungu weeeeeeeeehhhh hiki kitoto kinakoelekea sijui kwakweli!
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,035 Reaction score 1,005 Feb 2, 2015 #26 mahondaw said: Mungu weeeeeeeeehhhh hiki kitoto kinakoelekea sijui kwakweli! Click to expand... Wasanii walio wengi hapa bongo ni wehu
mahondaw said: Mungu weeeeeeeeehhhh hiki kitoto kinakoelekea sijui kwakweli! Click to expand... Wasanii walio wengi hapa bongo ni wehu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 3, 2015 #27 Hakikwanza said: Wasanii walio wengi hapa bongo ni wehu Click to expand... ndio wasanii wetu sasa ni kuwaombea tu yani!
Hakikwanza said: Wasanii walio wengi hapa bongo ni wehu Click to expand... ndio wasanii wetu sasa ni kuwaombea tu yani!
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Nov 13, 2017 #28 Tunafukua makaburi