Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

Na mie jana nimekaona kwenye kipindi cha Salama, nimeshangaa sana utadhani kako kwenye early 30, dah...! hapo kanadai hakanywi pombe, siku akianza si ndio itakua balaa. kweli maisha safari ndefu.

bora kangekuwa basi, kamezeeshwa kabisa jaman! huruma bure....
 
nadhani kalivuta jana kwani kalipoulizwa endapo kanatumia kileve kakajibu - hatumii kilevi chochote!
 
Eti kana 18 jamani ukikaangalia Kama 50 hii fimbo inachakaza jamani
 
nadhani kalivuta jana kwani kalipoulizwa endapo kanatumia kileve kakajibu - hatumii kilevi chochote!
kalinichefua kweli wakati kila wikendi kanakua chakali.
 
c dan ka ukimwulz shetan we ndo mtendj zamb maarufu ka atakubali
 
Jamani kana maana kwamba kamewatema wote and now thew chance is yours!
Free land....
 
Anamaanisha hivi, ameshawapitia wengi. Hata aliye naye sasa si wake.
 
Alisema kwamba yeye bado mdogo sana, kwa miaka 18 hawezi kuwa na boyfriend wala bwana
 
[video=youtube_share;S4FtMCz9Ngs]http://youtu.be/S4FtMCz9Ngs[/video]
 
Jaman kwan huyu lulu si ndio tunaesikia kusababisha kifo cha kanumba leo? Au jaman ikoje hii?
 
Alipokuwa anasema hana mchumba wala boyfriend nazan alikuwa anazuga
ukweli ndo huu tunaousikia sasa
 
Back
Top Bottom