Lulu:Siwezi kufumaniwa na mtu kama Young Dee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Zile taarifa zilizoenea kuhusu fumanizi la Msanii wa bongo fleva, Young dee na nyota wa filamu Elizabeth michael "Lulu" wamebambwa na polisi wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya hyundai, mbezi beach,tukio lililojaa utata mtupu
YOUNG DEE: Ni kweli nimezisikia izo habari,lakini ishu hiyo siyo ya kweli, bali imezushwa na watu wenye lengo la kuniaribia jina mbele ya jamii, isitoshe nina kama mwezi sijaonana na Lulu, huku ni kutaka kuchafuliana majina tu.
LULU: Kweli nimesikia ishu kama hiyo ila kinachonishangaza na kunisikitisha ni kwamba siku hiyo ya tukio inayotajwa mimi nilikuwa nyumbani na siku nzima sikutoka kwenda popote, hata hiyo mbezi iliyotajwa mimi siielewi kabisa, hata lile gari mimi sina gari la aina hiyo na wala sijawahi kulipanda gari hilo na huyo Young Dee nina mda mrefu sijaonana nae, usiku wa kuamkia leo nilimpigia mtangazaji mmoja ambaye alirusha hiyo habari redioni, nikataka kujua amepata wapi habari hiyo?, akanijbu kuwa amezipata tetesi tu. Sasa kama ni tetesi kwa nini asingechunguza kabla ya kuniaribia jina?. Yaani naomba ieleweke kuwa sijafumaniwa na siwezi kufumaniwa na mtu kama YOUNG DEE maana hata sijawahi kukutana nae ivi karibuni,sipendi kuchafuliwa na haya yote namuachia mungu.
 
hoya warumi embu tutolee huo upuuzi wako tumechoka kuusikia....!

Kaka acha usanii bhna,umechoka wakat ulivyosoma kichwa cha habri tu,fasta ukakimbilia kuingia usome,dah punguza usanii
 
mmh ukute hii ya kweli.. maana hawawez kukuzushia from no where.. dogo (lulu) hajatulia kbs!! afu vya kwenye gari vnakuwaga vtamuje????
napita tu!
 
mmh ukute hii ya kweli.. maana hawawez kukuzushia from no where.. dogo (lulu) hajatulia kbs!! afu vya kwenye gari vnakuwaga vtamuje????
napita tu!

Kwani na ww unafanyaga vya kwenye gari? Samahani lakin
 
hizo ni FUNUNU tu...

Young D ndio Hawezi fumaniwa na Lulu... Ila Lulu anaweza fumaniwa na yoyote.. Young Dee hana scandals za kikuda kama hizi.

Hii issue imeanza baada ya Young D kumtaja Lulu katika track yake ya Fununu...
 
hizo ni FUNUNU tu...

Young D ndio Hawezi fumaniwa na Lulu... Ila Lulu anaweza fumaniwa na yoyote.. Young Dee hana scandals za kikuda kama hizi.

Hii issue imeanza baada ya Young D kumtaja Lulu katika track yake ya Fununu...

Kamtajaje? Ebu funguka mkuu
 
Kamtajaje? Ebu funguka mkuu

Kuna mahala D anasema:

"... Mara Kanumba yupo hai,
ila hatujui yuko wapi,
ata ukimuuliza Lulu,
ataona tu ni maswali ya Kilaki,
zaidi atakachokuambia hizo nazo ni fununu tu..."


Watu ndio wakasema D anajipendekeza kwa Lulu... Kidogo yakazuka hayo.
 
huyu dogo c nackia anachukuliwa na mheshimiwa ndo anamlinda apa mjini so ilo gazeti lazima alimaind maana linataka kumwagia unga!!!
 

Ok so kidizain flan kama kiki iv?? Duh sema kajitahid kimtindo,wanamuzik wa kimarekan mara nyingi upenda kutumia iyo njia kabla ya nyimbo zao kutoka,duh basi wametisha
 
mmh ukute hii ya kweli.. maana hawawez kukuzushia from no where.. dogo (lulu) hajatulia kbs!! afu vya kwenye gari vnakuwaga vtamuje????
napita tu!
plus ile miyumbo ya gari mmmmmh,
 
aahaaaa kumbe na hii nayo ni fununu tu, maswali mengi kila anayetakiwa kuthibitisha anadai ni fununu tu,young D aongezee kakipande haka atoe remix yaq fununu hahahahaaaaaaaa
 
Ni huyu jamaa anaitwa Sudi alikuwa anatangaza show yao....sijui... b4 school bus....blah....blah...blah...

Hawa watangazaji si wameshatuona sisi wa TZ wote ni mamong'oo..........Lulu na Y D ni sehemu ya mradi huo, alafu wanatuzuga.....SENZI ZAO.....
 
Wala anabisha tu young d anamtafuna toka yupo na Kanumba,halaf young d bonge la handsome ana nin asiliwe kama komba kala sembuse wengine
Halaf muongo kweli huyu lulu chochote anachoongea sikiamini kabisaaa
 
Kaka acha usanii bhna,umechoka wakat ulivyosoma kichwa cha habri tu,fasta ukakimbilia kuingia usome,dah punguza usanii

Shangaa na we mpenzi atuwaache!!!! halaf kuanzia kesho tuanze kutoa thread kwa kichina maana wanaringa na kiingereza chao na sie tuitumie lugha tunayoijua bana,maana hatukwenda china kushangaa maghorofa wala kusugua masufuria tuu
 
utamuuuuu uleeee umepita kwenye egizosti!!
 
Hawa wote wana tafuta attention tuu. Hawako timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…