Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na we mpenzi atuwaache!!!! halaf kuanzia kesho tuanze kutoa thread kwa kichina maana wanaringa na kiingereza chao na sie tuitumie lugha tunayoijua bana,maana hatukwenda china kushangaa maghorofa wala kusugua masufuria tuu
Wala anabisha tu young d anamtafuna toka yupo na Kanumba,halaf young d bonge la handsome ana nin asiliwe kama komba kala sembuse wengine
Halaf muongo kweli huyu lulu chochote anachoongea sikiamini kabisaaa
Kwa hiyo badala ya mm kumuita sintah baby face na wewe umeamua kumuita yound dee handsome? Sawa bwana
Unapita unaenda wapi ww?mmh ukute hii ya kweli.. maana hawawez kukuzushia from no where.. dogo (lulu) hajatulia kbs!! afu vya kwenye gari vnakuwaga vtamuje????
napita tu!
Wala anabisha tu young d anamtafuna toka yupo na Kanumba,halaf young d bonge la handsome ana nin asiliwe kama komba kala sembuse wengine
Halaf muongo kweli huyu lulu chochote anachoongea sikiamini kabisaaa
young d Ndio nani...?
wanawapata nyie wenye mda mchafu mnaosikiliza ujinga
Hv huyo lulu cjui,anasoma kwel au ndo muigizaji even in realities? Shame upon that young lady
Asome nin wakati mwenzio ashasomewaa zamanii
dah! umeniacha daraja la salenda ebu tufafanulie white girl.....!