miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
Unadhani nyota,..... ni pesa tuu , wenye pesa hupokezana hao tuwaonao wazuriMbona anaonekana yuko kawaida tu ila huyo majizo ananyota ya kuwagonga warembo wakali.
Ohooooo!!!Unadhani nyota,..... ni pesa tuu , wenye pesa hupokezana hao tuwaonao wazuri
kuna magonjwa jmnUnadhani nyota,..... ni pesa tuu , wenye pesa hupokezana hao tuwaonao wazuri
Sie tusio na pesa labda magojwa ya moyo yatokanayo na tamaa ya tusivyomudu ama "pressure" ya kutoswa na wazuri ambao hawakujigundua kabla na kukimbilia pesa...kuna magonjwa jmn
kumbukeni hilo
Mkuu angalia hiyo ya kwanza vizur kakondaMbona anaonekana yuko kawaida tu ila huyo majizo ananyota ya kuwagonga warembo wakali.
Hiyo aliyokonda ni baada ya kuwa na mimi. Sijaribiwagi
kuna magonjwa jmn
kumbukeni hilo
pesa ariifMbona anaonekana yuko kawaida tu ila huyo majizo ananyota ya kuwagonga warembo wakali.
lulu ana ukali gani zaidi ya kuwa katoto kadogo ila kana mkosiMbona anaonekana yuko kawaida tu ila huyo majizo ananyota ya kuwagonga warembo wakali.
heshima pesa kisu mzigoooMbona anaonekana yuko kawaida tu ila huyo majizo ananyota ya kuwagonga warembo wakali.