Lulu: Wanaume wote huzaliwa wakiwa na usaliti

Lulu: Wanaume wote huzaliwa wakiwa na usaliti

Lazima wana ume waonekane hvyo kwasababu kati ya 100%. 99.05% wasaliti na 00.05% hao wako okey na ni adimu sana wametulia.
 
WHAT IF I SAY..“All women are born to ''kill'', it's just a question of when….! don’t get too comfortable”
..generalization aint good,especially when it comes to such aspects(gender)

unatumia kinywaji gani kiongozi?
 
Kwa hiyo Komba ndiyo kamsaliti mpaka akasema hivyo!
 
Kesi iko mahakamani inaendelea,wasiwasi wako nn,au unataka hata case preceedings zitoke kwenywe media?Mahakama zina taratibu zake.Kama unaona huridhiki na mwenendo wa kesi hiyo,upo utaratibu kaulize.
 
Anatafuta kick tu huyu
Unachukuwa waume za watu unalia usaliti
Tuondoleee jotro sie
 
Back
Top Bottom