Threads kama hizi ndizo hasa alikuwa anazitafuta Luludiva!
Endapo angesema she's 27 or 28 au umri wowote unaofanana na yeye, basi hii thread isingekuwepo, na endapo ingekuwepo isinge-trend (kwa viwango vya Luludiva)!
Uzuri wa Luludiva haoni taabu kufanya chochote ili mradi tu azungumziwe kama ambavyo alimlipa TID atangaze kwamba ana mtoto kamsusa kijijini kwao!