Luludiva: Nina miaka 19, nitaolewa nikifikisha miaka 25

Luludiva: Nina miaka 19, nitaolewa nikifikisha miaka 25

''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz

Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu huko ulimwenguni? Tuna safari ndefu sana.

View attachment 1197775View attachment 1197776
Sasa hivi yupo busy kuomba michango ya kumtibu mama yake. Hawa wasanii uchwara wanajaribu vijana wetu sana maana maisha wanayoishi ni full Sanaa.
 
Kwa hiyo now atakuwa na miaka 11!? Kama ni kweli, nini kimefanya manyonyo yake yastaafu mapema wakati ana miaka michache hivyo?
 
Back
Top Bottom