GE2025 Lumola Kahumbi ajiondoa CHADEMA, atangaza kuhamia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.

Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za CHAUMMA, Kahumbi amesema msimamo wa CHADEMA wa “No Reforms, No Election” unahatarisha uwepo wa wanasiasa katika medani ya siasa. “Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.

Aidha, Kahumbi ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia tiketi ya CHAUMMA, akieleza kuwa chama hicho kina muelekeo wa kisiasa unaokaribiana na ule wa CHADEMA, tofauti na kama angehamia chama kingine chenye mwelekeo tofauti.

Karibu CHAUMMA
 
Hana madhara. Vip hizi sare za jeshi huku mtaani nakumbuka tulipewa dateline ukionekana umezivaa wale majamaa wanakuvaa sasa mbona huyu hajakamatwa au kwa sababu yuko upande wa mbeleko
 
“Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.

Mawazo ya kipumbavu.

Mandela alifichwa gerezani zaidi ya miongo miwili, hakufutika kwenye siasa. Alikuja kuibukia Ikulu kishujaa.

Huyu mpuuzi anasukumwa na njaa zake.
 
Hawa wafuata mkumbo wasitulilie wakianza kutekwa na kuuawa October.
Mwenzao Salim Mwalimu anajua anafanya Nini na atapata Nini.
Waache wajiingize mkenge.
 
Mawazo ya kipumbavu.

Mandela alifichwa gerezani zaidi ya miongo miwili, hakufutika kwenye siasa. Alikuja kuibukia Ikulu kishujaa.

Huyu mpuuzi anasukumwa na njaa zake.
Mfano wako hauendani na zama na mazingira.
 
Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.

Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za CHAUMMA, Kahumbi amesema msimamo wa CHADEMA wa “No Reforms, No Election” unahatarisha uwepo wa wanasiasa katika medani ya siasa. “Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.

Aidha, Kahumbi ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia tiketi ya CHAUMMA, akieleza kuwa chama hicho kina muelekeo wa kisiasa unaokaribiana na ule wa CHADEMA, tofauti na kama angehamia chama kingine chenye mwelekeo tofauti.

Kamfuata dr.ubwabwa Chaumwa,njaa sasa basi huku ubwabwa ndio nyumbani kwake.
 
Huyu dogo si wame share mama mmoja na Kigwangwala?
 
Back
Top Bottom