Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Karibu CHAUMMAAliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.
Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za CHAUMMA, Kahumbi amesema msimamo wa CHADEMA wa “No Reforms, No Election” unahatarisha uwepo wa wanasiasa katika medani ya siasa. “Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.
Aidha, Kahumbi ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia tiketi ya CHAUMMA, akieleza kuwa chama hicho kina muelekeo wa kisiasa unaokaribiana na ule wa CHADEMA, tofauti na kama angehamia chama kingine chenye mwelekeo tofauti.
Hana madhara. Vip hizi sare za jeshi huku mtaani nakumbuka tulipewa dateline ukionekana umezivaa wale majamaa wanakuvaa sasa mbona huyu hajakamatwa au kwa sababu yuko upande wa mbelekoAliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.
Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za CHAUMMA, Kahumbi amesema msimamo wa CHADEMA wa “No Reforms, No Election” unahatarisha uwepo wa wanasiasa katika medani ya siasa. “Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.
Aidha, Kahumbi ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia tiketi ya CHAUMMA, akieleza kuwa chama hicho kina muelekeo wa kisiasa unaokaribiana na ule wa CHADEMA, tofauti na kama angehamia chama kingine chenye mwelekeo tofauti.
Mawazo ya kipumbavu.“Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.
Mfano wako hauendani na zama na mazingira.Mawazo ya kipumbavu.
Mandela alifichwa gerezani zaidi ya miongo miwili, hakufutika kwenye siasa. Alikuja kuibukia Ikulu kishujaa.
Huyu mpuuzi anasukumwa na njaa zake.
Kamfuata dr.ubwabwa Chaumwa,njaa sasa basi huku ubwabwa ndio nyumbani kwake.Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.
Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za CHAUMMA, Kahumbi amesema msimamo wa CHADEMA wa “No Reforms, No Election” unahatarisha uwepo wa wanasiasa katika medani ya siasa. “Mnafahamu kwamba kwenye siasa, ukipotea ndani ya mwaka mmoja tu unafutika kwenye ramani,” amesema.
Aidha, Kahumbi ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia tiketi ya CHAUMMA, akieleza kuwa chama hicho kina muelekeo wa kisiasa unaokaribiana na ule wa CHADEMA, tofauti na kama angehamia chama kingine chenye mwelekeo tofauti.
hzo mbona wanavaa tuHana madhara. Vip hizi sare za jeshi huku mtaani nakumbuka tulipewa dateline ukionekana umezivaa wale majamaa wanakuvaa sasa mbona huyu hajakamatwa au kwa sababu yuko upande wa mbeleko