Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Space X chombo chao kiliripuka napo unataka kusema wameathiriwa na vikwazo madogo mnavuta bangi kabla ya kuja humu?!🤡
 
Tofautisha kampuni binafsi space x na NASA .
Hi ya urusi ni government owned .ROSCOSMOS ya urusi . Walipunguziwa budget saivi budget kubwa ya urusi inaelekezwa kwenye vita .
Wanasema hio ndo imechangia kuanguka
 
Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee maisha lazima yaendelee mzee! Kwan mbona amerusha satellite nyingi tu tangia aanze mission yake pale Ukraine?
 
That is science trials and errors. Watapatia tu next time.

Ila niliwashangaa niliposikia wametuma Chombo Kwa kihelehele kumuwahi India alitangangulia kutuma japo bado hakijafika wao wametuma baadae wakachoma wese Kwa speed na kufika na wameshindwa kutua salama. Haraka haraka Haina baraka.

West wanajipa credit eti ni vikwazo ndio sababu.
India bado hawajarusha ya kwao wanarusha tarehe 23 mwezi huu.
 
Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo ni assumptions zetu tu,hiyo plan yao ya kurusha hiyo robotic probe ni ya mda mrefu ipo kwenye kalenda yao,sema ime coincede na vita ya Ukraine kiasi kwamba unaweza kudhani wanajimwambafy kumbe siyo.
 
Tofautisha kampuni binafsi space x na NASA .
Hi ya urusi ni government owned .ROSCOSMOS ya urusi . Walipunguziwa budget saivi budget kubwa ya urusi inaelekezwa kwenye vita .
Wanasema hio ndo imechangia kuanguka
Wewe ni mpuuzi suala la spacecraft kuanguka, kulipuka na ajali ya aina yoyote ni jambo la kawaida katika space exploration marekani,China, Urusi, India, Japan na wengine wamepata ajali nyingi zilizo gharimu mabilion ya fedha na vifo vya wanaanga wengi tu hakuna uhusiano na budget
 
Watapoteza kote pambavu zao, waliingia kudhulumu kataifa jirani hapo kwa ubabe wao, yaani kuna kipindi nilikua nafurahi sana kuona wanafikisha vyombo huko nje, ila sasa hivi natamani vianguke vyote...

Wewe ni fala tena mpumbavu
 
Wewe ni mpuuzi suala la spacecraft kuanguka, kulipuka na ajali ya aina yoyote ni jambo la kawaida katika space exploration marekani,China, Urusi, India, Japan na wengine wamepata ajali nyingi zilizo gharimu mabilion ya fedha na vifo vya wanaanga wengi tu hakuna uhusiano na budget
Kwanza mm sio mpumbavu .ila nimesema . Tu kupunguziwa kwa Budget ROSCOSMOS kumechangia lakini pia vikwazo kwenye baadhi ya components .
Alafu mbona. Luna-24 ya 1976 ilifanikiwa kutua kwenye mwezi vizuri tu bila shida yeyote miaka 40 iliyopita . Sababu ni nyingi ila hio ni moja wapo tu
 
Baada ya miaka ya Uhuru Afrika imezalisha vijana wajinga sana.
 
Hivi mwenge kwa sasa uko mkoa gani, nauliza tu.
 
Back
Top Bottom