Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Space X chombo chao kiliripuka napo unataka kusema wameathiriwa na vikwazo madogo mnavuta bangi kabla ya kuja humu?!🤡Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tofautisha kampuni binafsi space x na NASA .Space X chombo chao kiliripuka napo unataka kusema wameathiriwa na vikwazo madogo mnavuta bangi kabla ya kuja humu?!🤡
Mzee maisha lazima yaendelee mzee! Kwan mbona amerusha satellite nyingi tu tangia aanze mission yake pale Ukraine?Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
India bado hawajarusha ya kwao wanarusha tarehe 23 mwezi huu.That is science trials and errors. Watapatia tu next time.
Ila niliwashangaa niliposikia wametuma Chombo Kwa kihelehele kumuwahi India alitangangulia kutuma japo bado hakijafika wao wametuma baadae wakachoma wese Kwa speed na kufika na wameshindwa kutua salama. Haraka haraka Haina baraka.
West wanajipa credit eti ni vikwazo ndio sababu.
Hizo ni assumptions zetu tu,hiyo plan yao ya kurusha hiyo robotic probe ni ya mda mrefu ipo kwenye kalenda yao,sema ime coincede na vita ya Ukraine kiasi kwamba unaweza kudhani wanajimwambafy kumbe siyo.Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpuuzi suala la spacecraft kuanguka, kulipuka na ajali ya aina yoyote ni jambo la kawaida katika space exploration marekani,China, Urusi, India, Japan na wengine wamepata ajali nyingi zilizo gharimu mabilion ya fedha na vifo vya wanaanga wengi tu hakuna uhusiano na budgetTofautisha kampuni binafsi space x na NASA .
Hi ya urusi ni government owned .ROSCOSMOS ya urusi . Walipunguziwa budget saivi budget kubwa ya urusi inaelekezwa kwenye vita .
Wanasema hio ndo imechangia kuanguka
Huko alikotoka kupelekwa ni kigumi,nadhani wajapan walifanikiwa,ni tofauti na ilipotua appolo 11
Una maanisha nini unaposema Urusi hana ukubwa?
Watapoteza kote pambavu zao, waliingia kudhulumu kataifa jirani hapo kwa ubabe wao, yaani kuna kipindi nilikua nafurahi sana kuona wanafikisha vyombo huko nje, ila sasa hivi natamani vianguke vyote...
Wewe ni fala tena mpumbavu
Kwanza mm sio mpumbavu .ila nimesema . Tu kupunguziwa kwa Budget ROSCOSMOS kumechangia lakini pia vikwazo kwenye baadhi ya components .Wewe ni mpuuzi suala la spacecraft kuanguka, kulipuka na ajali ya aina yoyote ni jambo la kawaida katika space exploration marekani,China, Urusi, India, Japan na wengine wamepata ajali nyingi zilizo gharimu mabilion ya fedha na vifo vya wanaanga wengi tu hakuna uhusiano na budget
India wamesharusha ila kinatarajiwa kutua mwezini hiyo tarehe 23 mwezi huu.India bado hawajarusha ya kwao wanarusha tarehe 23 mwezi huu.
Nawaonbea mafanikio ukizingatia kuwa ni third world wenzetu japo wametuwcha mbali sana kiteknolojia.India wamesharusha ila kinatarajiwa kutua mwezini hiyo tarehe 23 mwezi huu.
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
SyriaLini Marekani amepora ardhi ya mtu bila makubaliano?
Huu niukweli mchungu waafrika akili zetu zimekua tegemezi mno hatuna agenda yoyote yamaaanaBaada ya miaka ya Uhuru Afrika imezalisha vijana wajinga sana.