Lundenga alivyo chemsha Miss TZ 2013

Lundenga alivyo chemsha Miss TZ 2013

eti KOMWEE!!.....kwi kwi kwi kwi..JF is never boring
 
Hakuna mwana mziki aliye ni kera kama jyde that day,hivi jyde alishindwa kuandaa beat za nyimbo zake kwenye cd mpaka afatishe kama ajui kuimba?watu tunajua anaweza kuimba alaf ana haribu. Alinikera sana.

Hata waandaaji nili walahumu kwa kutoleta band.

Katika hili diamond atabaki kuwa mkali stejini.

Lady jaydee asirudie ujinga hule tena.

Nilikuwa naangalia video ya show ya kili tour mwanza,yaani jukwaani watu bado sana,jide hamna kitu,kidogo prof jay ndo alijitahd kidogo kujarbu kupoteza gape lililooneshwa kat ya wasanii wengine na Dogo Diamond.Dogo yupo serious sana na kazi
 
Ruttashobolwa naona umepewa ban POLE........

Kwa kweli hii Miss Tanzania nashindwa kuielewa inakoelekea......

Nilishachaga kuangalia sio kwenye TV wala ukumbini ntaona tu Picha kwenye blogs.....

Yule miss kufika mbali Miss world ni ndoto.....................

atapata tu exposure kwamba Once in a life time niliwahi kushiriki Miss WORLD

ila ananifanya nimkumbuke MIRIAM ODEMBA
 
Last edited by a moderator:
The Boss speaking of JD.....

Nilishindwa kuelewa ni nini kile amevaa?????????????????

nguo zake ni zile zile kila show u wish you could see JD in a new look

lakini atakuja na nguo zake zile zile the same same design!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

alivyoperfom sikuona siwezi sema chochote....
 
Baada ya wema sepetu mashindano yaliingia shubiri.baada ya hapo sijawahi kumjua miss mwingine yeyote.
By the way,mshindi anaitwa nani?katokea wap?na kapewa zawad gan?
 
siku hizi watoto wazuri nawaona instagram na bbm,katika haya mashindano ya huyu lundenga mwenye uso uliojaa mafuta naona takataka tu hata katika ile top 3 nikimdate mmoja raia hawatanipa salute wala nini...
 
Lundenga anacheza na hili shindano
poor promotion
watu wengi walikuwa hawajui..
no proper media coverage

wasanii waku perform ndo kabisa
mganda hamna kitu

Jaydee akavaa kama anaenda Disco
jukwaa likammeza ,hakuwa hata na dancer mmoja

kaimba nyimbo moja, katoka
kurudi nyimbo ya pili....so poor perfomance

stage ilivyo kuwa na mirangi rangio myekundu utasema jukwaa la mganga wa kienyeji...

hili shindano wakiendelea hivi litapoteza mashabiki wengi...
Nilijua labda ni mimi mwenyewe sikujua kuwa kuna miss tz ,ila nilishangaa mtu aliponiambia kuwa miss tz imefanyika weekend iliyopita .Mashindano haya yamekosa msisimko kutokana na mwendeshaji kuyabinafsisha (kuyafanya ni ya kwake mwenyewe anaamua nani awe mshindi) badala ya kuwa na sura ya kitaifa .
 
Sijali kuhusu mashindano ya Miss TZ kwasababu si shabiki lakini kama mpenda muziki Lady Jaydee alinisikitisha pia na mbaya zaidi nimefuatilia maonesho yake kadhaa hivi karibuni ni dhahiri mpendwa wetu Lady Jaydee akubali kubadilika.Kwanza kwa level zake anapaswa kuimba kwa biti maana tumeshuhudia shoo nyingi za wasanii wakubwa wanaoimba bila bendi lakini wanatumia biti na kufanya vizuri.

Lakini pia anaonekana kama mtu aliyeishiwa vitu vya kufanya jukwaani na kufanya watu kupata mzuka wa umaarufu wa nyimbo na si jinsi anavyoimba na kucheza.Sitaki kugusia mavazi lakini walau performance ingefunika vyote hivyo.

Lazima atumie muda mwingi kuangalia shoo za wenzake hasa wakubwa wa mbele ili aibe baadhi ya vitu kwa kuongezea ubunifu wake na sio kuimba ovyo huku umesimama tu kama watu wanaona raha tu kukuangalia!!!!!!

Lady Jaydee akubali changamoto na tutaendelea kumsapoti kama Legend.
 
mtumeeeeee lady jay d hivi yale maviatu hakuyajaribu maana kama siyo kwisha yalikuwa yanakuwa kama soksi za watoto wa primary sorry for her...
 
Miss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!

Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!

Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!
Hapo penye red,nae alikuwa na mgao wake mkubwa katika hiyo 1 billion si ajabu aliangusha mjengo,huo si udhamini bali ulikuwa wizi wa mchana wa huyo mdada na CEO wake,alipoondoka CEO wake naye akapigwa uhamisho,urafiki kwenye kazi huleta mambo mengi na mwisho wa yote huwa aibu
 
The Boss speaking of JD.....

Nilishindwa kuelewa ni nini kile amevaa?????????????????

nguo zake ni zile zile kila show u wish you could see JD in a new look

lakini atakuja na nguo zake zile zile the same same design!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

alivyoperfom sikuona siwezi sema chochote....


havai kama anaenda kwenye steji
anavaa kama anaenda kwenye shughuli zake hivi
aibu tupu
 
Yotee umeongea ni sawa uko sawa sana lakini hapo uliposema miss komwee si kitu kizuri mpenzi,unadhani ye alipenda kua na komwe??so siku nyingine dont say those words hata ungekua wewe usingependa,kama your perfect yani hauna kasoro yoyote shukuru.

huyo mbulura kuna watu wanamsifia ni smart na wa mjini naona anaota pembe had anaingilia kazi ya mungu ,,exposure ya huyo miss TZ na u smart wake achilia mbali u familia bora huyu genius wenu wa MMU hawez mfikia ingawa Happiness bado dogo na huyo lara ni kikongwe
 
nikikumbuka jinsi nilivyokuwa nawapanga mamiss enzi hizo!dah!
sijui wako wapi kina basila mwanukuzi,kina saida kessy,emily adolf,jakie ntiz, na wenzao wengine!
 
Lundenga anacheza na hili shindano
poor promotion
watu wengi walikuwa hawajui..
no proper media coverage

wasanii waku perform ndo kabisa
mganda hamna kitu

Jaydee akavaa kama anaenda Disco
jukwaa likammeza ,hakuwa hata na dancer mmoja

kaimba nyimbo moja, katoka
kurudi nyimbo ya pili....so poor perfomance

stage ilivyo kuwa na mirangi rangio myekundu utasema jukwaa la mganga wa kienyeji...

hili shindano wakiendelea hivi litapoteza mashabiki wengi...

Mie ndo na taarifika hapa na huu uzi!!!!
Tofauti na miaka iliopita!!!
Sijasikia matangazo kabisa!!
Hata redioni!!!!
 
Nancy alipondwa hivi hivi na alifanya vizuri nachokiona kwa huyu msichana is just like Nancy kwanza akili urembo next sasa wabongo mnataka mtu aliyejicream,scandalous,misifa nk. Kabla ujamcoment kaangalie CV yake Afu jifananishe
 
Back
Top Bottom