Hakuna mwana mziki aliye ni kera kama jyde that day,hivi jyde alishindwa kuandaa beat za nyimbo zake kwenye cd mpaka afatishe kama ajui kuimba?watu tunajua anaweza kuimba alaf ana haribu. Alinikera sana.
Hata waandaaji nili walahumu kwa kutoleta band.
Katika hili diamond atabaki kuwa mkali stejini.
Lady jaydee asirudie ujinga hule tena.
bora hilishindano lifutweee mweeeeeeeeeeeeeeeh,nahisi tz warembo wameisha
Nilijua labda ni mimi mwenyewe sikujua kuwa kuna miss tz ,ila nilishangaa mtu aliponiambia kuwa miss tz imefanyika weekend iliyopita .Mashindano haya yamekosa msisimko kutokana na mwendeshaji kuyabinafsisha (kuyafanya ni ya kwake mwenyewe anaamua nani awe mshindi) badala ya kuwa na sura ya kitaifa .Lundenga anacheza na hili shindano
poor promotion
watu wengi walikuwa hawajui..
no proper media coverage
wasanii waku perform ndo kabisa
mganda hamna kitu
Jaydee akavaa kama anaenda Disco
jukwaa likammeza ,hakuwa hata na dancer mmoja
kaimba nyimbo moja, katoka
kurudi nyimbo ya pili....so poor perfomance
stage ilivyo kuwa na mirangi rangio myekundu utasema jukwaa la mganga wa kienyeji...
hili shindano wakiendelea hivi litapoteza mashabiki wengi...
Hapo penye red,nae alikuwa na mgao wake mkubwa katika hiyo 1 billion si ajabu aliangusha mjengo,huo si udhamini bali ulikuwa wizi wa mchana wa huyo mdada na CEO wake,alipoondoka CEO wake naye akapigwa uhamisho,urafiki kwenye kazi huleta mambo mengi na mwisho wa yote huwa aibuMiss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!
Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!
Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!
The Boss speaking of JD.....
Nilishindwa kuelewa ni nini kile amevaa?????????????????
nguo zake ni zile zile kila show u wish you could see JD in a new look
lakini atakuja na nguo zake zile zile the same same design!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
alivyoperfom sikuona siwezi sema chochote....
Yotee umeongea ni sawa uko sawa sana lakini hapo uliposema miss komwee si kitu kizuri mpenzi,unadhani ye alipenda kua na komwe??so siku nyingine dont say those words hata ungekua wewe usingependa,kama your perfect yani hauna kasoro yoyote shukuru.
Lundenga anacheza na hili shindano
poor promotion
watu wengi walikuwa hawajui..
no proper media coverage
wasanii waku perform ndo kabisa
mganda hamna kitu
Jaydee akavaa kama anaenda Disco
jukwaa likammeza ,hakuwa hata na dancer mmoja
kaimba nyimbo moja, katoka
kurudi nyimbo ya pili....so poor perfomance
stage ilivyo kuwa na mirangi rangio myekundu utasema jukwaa la mganga wa kienyeji...
hili shindano wakiendelea hivi litapoteza mashabiki wengi...