Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kulikuwa na Nyuzi mfululizo hapa Jf na kwingineko, kwamba umati wa viongozi wa Chadema wangeungana na Mchungaji Msigwa huko CCM, na kwamba umati huo ungejiunga na CCM siku ya kuadhimisha miaka 48 ya Chama hicho huko Dodoma.
Miongoni mwa Wasambazaji wa Taarifa hiyo ya kuvutia yumo Pedeshee Amos Makalla, Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA na ambaye sasa ni Katibu wa Uenezi wa CCM.
Sasa Swali letu ni hili, Umati huo umeyeyukia wapi?