Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulipewa hadi Tarehe na mashada yaliandaliwaCCM ni Chama cha Watanzania wote kwa vitendo sio maneno tu, sio lazima waje leo au kesho, hata siku za mbeleni aliyechoka vyama vingine anakaribishwa kwa kukiri na kuifuata Katiba ya CCM..!!
Anasema yeye ni mtoto wa mjini na alizaliwa Polisi Kilwa road.CPA Makalla anafaa zaidi kwenye uRC au uDC na si kwenye propaganda.
Hakuna anayebisha lakini acheni kuiba kura ili tuone kama kweli mnapendwa, jipimeni kihalali nasio kulazimisha kupendwa.CCM ni Chama cha Watanzania wote kwa vitendo sio maneno tu, sio lazima waje leo au kesho, hata siku za mbeleni aliyechoka vyama vingine anakaribishwa kwa kukiri na kuifuata Katiba ya CCM..!!
Hakuna anayebisha lakini acheni kuiba kura ili tuone kama kweli mnapendwa, jipimeni kihalali nasio kulazimisha kupendwa.
Tulipewa hadi Tarehe na mashada yaliandaliwa
Na Amos MakallaUlipewa na nani? Unaota saa hz mchana?
Mahakama hizi hizi ambazo Mahakimu ni akina Thomas Simba?Kura mtu akiibiwa lazima uende mahakamani na ushahidi, kama huna ushahidi itabakia kelele tu, Chadema juzi kanda ya Nyasa walisema kabisa kuna kura za uwizi wazi wazi, na Sugu aliiba kura, sasa CCM sio wezi kumbe, hadi CHADEMA wezi sana, so hakuna mtakatifu
Mpeni Dkt. Slaa haki yake ya dhamana kwanza.Kura mtu akiibiwa lazima uende mahakamani na ushahidi
Watoto wa Mjini walizaliwa Magomeni akina Afande Kova πAnasema yeye ni mtoto wa mjini na alizaliwa Polisi Kilwa road.
Trump keshauvuruga huu mwaka totally πTulipewa hadi Tarehe na mashada yaliandaliwa
Sidhani kama kuna ambae anaweza kuja kwako, labda kwa kutumia pesa kama kipindi cha maguCCM ni Chama cha Watanzania wote kwa vitendo sio maneno tu, sio lazima waje leo au kesho, hata siku za mbeleni aliyechoka vyama vingine anakaribishwa kwa kukiri na kuifuata Katiba ya CCM..!!
Uliambiwa na nchimbi?Kulikuwa na Nyuzi mfululizo hapa Jf na kwingineko, kwamba umati wa viongozi wa Chadema wangeungana na Mchungaji Msigwa huko CCM, na kwamba umati huo ungejiunga na CCM siku ya kuadhimisha miaka 48 ya Chama hicho huko Dodoma.
Miongoni mwa Wasambazaji wa Taarifa hiyo ya kuvutia yumo Pedeshee Amos Makalla, Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA na ambaye sasa ni Katibu wa Uenezi wa CCM.
Sasa Swali letu ni hili, Umati huo umeyeyukia wapi?
View attachment 3226849
tuliza nchencheto na na kiroho papo gentleman πKulikuwa na Nyuzi mfululizo hapa Jf na kwingineko, kwamba umati wa viongozi wa Chadema wangeungana na Mchungaji Msigwa huko CCM, na kwamba umati huo ungejiunga na CCM siku ya kuadhimisha miaka 48 ya Chama hicho huko Dodoma.
Miongoni mwa Wasambazaji wa Taarifa hiyo ya kuvutia yumo Pedeshee Amos Makalla, Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA na ambaye sasa ni Katibu wa Uenezi wa CCM.
Sasa Swali letu ni hili, Umati huo umeyeyukia wapi?
View attachment 3226849