Lundo la Viongozi wa Chadema tulioambiwa watahamia CCM Tarehe 5/02/2025 limeyeyukia wapi?

Hujui CCM



Unakumbuka Wakati Wa Mzilankende, Akiwa Rais
Gambo RC AR
Wakaandaliwa Watu Toka CDM Ili Akifanya Ziara Rais Watarudi CCM
Sasa Wahuni Wa CDM Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid
Wakakimbia Na Pesa Za CCM
Kwa Mbwembwe Wanatangaza Kuna Watu Wanarudi CCM


Uwanja Mzima Ukawa Kimya, Unawangoja Wageni Wanarudi CCM
Hawakuonekana, Akaitwa Wewe Mkuu Wa Mkoa Wako Wapi Watu Wako ?
Kimya , Jiwe Kwa Hasira Bila Kuzima Microphone Akasema, Pumbavu Na Watu Wako
 
Katibu Mwenezi wa CCM, ana taarifa sahihi sana kuliko wewe, alisema Msigwa ataenda CCM mkabisha, leo yuko wapi? Na hao kama kawataja, ni suala la muda tu
ndio maana tumeuliza
 
Nani aende jumba bovu limwangukie
 
CCM ni Chama cha Watanzania wote kwa vitendo sio maneno tu, sio lazima waje leo au kesho, hata siku za mbeleni aliyechoka vyama vingine anakaribishwa kwa kukiri na kuifuata Katiba ya CCM..!!
Sio cha watanzania wote, bali cha wazee na mazombie.
 
Ngoma imekuwa nzito.....mbele haiendi nyuma hairudi
 
Wakamfuate Wasira! Aisee!
 
Wameona hailipi wakikumbuka Upendo Peneza na Mchungaji Msigwa hadi sasa hawajakumbukwa.
 
Hakuna mtu mwenye akili atakubali kwenda kuongozwa na babu kizee Mzee wa Gombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…