Lunyungu apata ajali


Shukran kwa taarifa hii Mkuu Mugishangwe.
 
Mkuu tuko pamoja nawe, tunakutakia kheri upone haraka tuendeleze hili libeneke
 
pole sana lunyungu, mola atakulinda na atakupa ahueni. tuko pamoja kaka!
 
Pole Lunyungu na ugua pole. Ahsante Max. Dua na maombi yetu yatakuwa na ndugu na jamaa wa Linyungu
 
..pole sana Lunyungu.

..tunakuombea upone haraka.
 
Oooh,Mkuu nimechelewa sana.Pole sana ndugu yangu.Mungu akupe nafuu ya haraka
 
Pole sana Kamanda, tuko wote katika maombi upate nafuu haraka tuendeleze mapambano.
 
Ndugu wana JF
Nimepokea salam zenu za heri kabisa .Jamani nimepona na Mungu ni mwema sana .Niko hai .Najiandaa kurudi Kagera kweney uchaguzi siku chache zijazo .Nimeona makubwa na kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu .Ninawashukuru sana sana wana JF .Nina endelea vyema ila nilishikwa na tetemeko kubwa sana moyoni na mwili mzima .
 
Ndugu wana JF
Nina endelea vyema ila nilishikwa na tetemeko kubwa sana moyoni na mwili mzima .

Pole sana mkuu....!

BWT: Madaktari wamekuhakikishia kuwa hilo TETEMEKO halikuacha nyufa sehemu yoyote ya mwili ambazo usipozithibiti kwa sasa zinaweza kukuleta maafa baadaye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…