Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Mkuu amini ya kuwa mtetezi wako yu hai,mtumainie yeye nawe utapona
 
Tunamuombea kwa Mungu muweza wa yote amponye haraka kupitia kwa madaktari au hata kwa miujiza yake.Let our comdrade know we value,love and we psychologically share maumivu anayoyapata.

Neema ya Mungu ya uponyaji iwe juu yake.
 
Lunyungu;

Binafsi nilishangaa sana kukukosa kipindi hiki na najua energy yako would have been more than flavor to this election season, you are unique!!

Back to the condition yako, maumivu yake hayasemeki ,a lakini si vibaya kuomba mungu na pia kujali masharti ya daktari!! pia nadhani your condition is reversible kwahiyo omba fuata masharti

Nimesikia operesheni, je is the date and appointment set? uko ok kwenye financing ya hiyo op? au kuna namna nyingine waweza hitaji msaada??

Nakuombea upone, lakini cha maana zaidi naombea successful operation na smooth and brief process towards operation yako

we miss u...
 
Huyu Mpendwa yuko Arusha kwa vile simu yake iko hapo ubaoni wenzetu mlioko Arusha mnaweza kwenda hapo Hosp alipo sasa na kutufikishia salam Zetu..Wapi Binamu an' my shemeji PakaJimmy also our beutiful one Preta?
 
Tunakuombea upone haraka Lunyungu!
 
mungu akupe afya njema, upone haraka.
 
Lunyungu ni mmoja wa wapiganaji wa mwanzo kabisa kwenye forum hii. Yaani alikuwepo tokea day one. Nakumbuka sana michango yake makini. Nasikitika kumkosa kwenye kipindi hiki. Ugua pole mzee.
 
Kila la kheri Mkuu Lunyungu, Mungu akusaidie upate nafuu haraka
 
Ugua pole brotha..hope utarudi kijiweni soon!
Mungu akutangulie katika upasuaji huo..
 
Miongoni mwa watu wa mwanzo sana kushiriki katika mapambano dhidi ya ufisadi. Pole mkuu nitakucheki.
 
Get well soon Lunyungu, wakuu mnaonaje tukiandaa utaratibu wa kumsaidia ndugu yetu, well kwa hali na mali????
Ni wazo zuri kama tukianzisha kamchango ka kumsaidia mwenzetu!! mkuu wa janvi anaweza kulifanyia kazi; lakini time is the essence!!
 
Mkuu, Mungu wa mbinguni akuponye na akurejeshe haraka.Naungana nawe kwa maombi
 
Pole sana Lunyungu tunakuombea Mungu akuponye haraka
 
......Pole sana Lunyungu,my prayers are with you for relief from your pain and other symptoms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…