Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Mungu wetu ni mwingi wa rehema na pendo.
Kwa imani ameshapokea uponyaji na magonjwa yote yamwkwisha.
Amen

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Lunyungu umenitoa machozi..
Tatizo lako ni la kawaida huko ulipo, na watalishughulikia kwa ufanisi mkubwa, wala usiwe na wasiwasi wowote.
Kilichonisikitisha ni hali halisi ya matibabu hapa nyumbani..walivyokufanyia haitoi kabisa matumaini ya kuishi!!
Lunyungu, wewe ni mpambanaji, tunakuombea kwa mola upone haraka.
Lakini muhimu ni kuwa mateso uli/anayopata yawe mwanzo wa mapambano dhidi ya mifumo yote kandamizi iliyoshamiri kwenye upatikanaji wa huduma za msingi kabisa katika jamii yetu ya Tanzania. Kama unavyojua kila kitu kimetelekezwa hapa nyumbani, hakuna kiongozi anayejali, maana wao wakiugua huwa wanatibiwa nje, hivyo hawana wasiwasi, wananchi wa kawaida ndiyo tunaumia.
Niishie hapa mkuu, naomba simu yako mkuu ili tuwasiliane.
Get well soon bro!
Yes tatizo langu kwa hosp hii ni la kawaida na nategemea kuwa Tanzania mapema sana kumalizia mambo ya uchaguzi.Simu yangu ni +31641998601
Mpiga xray aliamua kufanya deal akaficha ili atafutwe nikawa naambiwa yuko wizarani nami najiuliza hizi xrays zatakiwa kuwa kwenye kitengo cha kuzichukua tu ukija je zangu zina nini ? Hii ndiyo Tanzania ambayo hata Doct bingwa jina nitalisema baada kusema anifanyie OP na kunipangia kitanda nikamwambia naenmda kufanyia nje alikataa kujaza hata form zangu za kupanda ndege hakika nime saidiwa nje ya Muhimbili . I am scared kwa kweli

Wandugu wote namba yangu ni
+31641998601
Lakini napenda kuwaambia kwamba kura zitaibwa kwenye majumuisho so we need strong mawakala. Kura zote vituoni zitakuwa salama lakini wataongezea za CCM kule town Hall ambako kutakuwa na majumuisho ya mwisho . Nitakuja na siri zaidi .So mawakala jamani wawe strong na wakatae pesa na kulishwa chakula chao usiku ule .

Hospitali ya TUMAINIA walinipotezea my first born kwa ungese kama waliotaka kumfanyia LUNYUNGU.Bado sijaelewa kwa nini binadamu wengine wana roho mbaya kiasi hii,Mtu uko kwenye maumivi yeye anafanya ufisadi hata kwenye afya yako.inatia uchungu.Ni kweli tunahitaji mabadiliko