Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na pendo.
Kwa imani ameshapokea uponyaji na magonjwa yote yamwkwisha.
Amen
 
Mkuu, Lunyungu umenitoa machozi..
Tatizo lako ni la kawaida huko ulipo, na watalishughulikia kwa ufanisi mkubwa, wala usiwe na wasiwasi wowote.
Kilichonisikitisha ni hali halisi ya matibabu hapa nyumbani..walivyokufanyia haitoi kabisa matumaini ya kuishi!!
Lunyungu, wewe ni mpambanaji, tunakuombea kwa mola upone haraka.
Lakini muhimu ni kuwa mateso uli/anayopata yawe mwanzo wa mapambano dhidi ya mifumo yote kandamizi iliyoshamiri kwenye upatikanaji wa huduma za msingi kabisa katika jamii yetu ya Tanzania. Kama unavyojua kila kitu kimetelekezwa hapa nyumbani, hakuna kiongozi anayejali, maana wao wakiugua huwa wanatibiwa nje, hivyo hawana wasiwasi, wananchi wa kawaida ndiyo tunaumia.
Niishie hapa mkuu, naomba simu yako mkuu ili tuwasiliane.
Get well soon bro!
 
Mpe pole sana! Thnx kwa taarifa
 
Yes tatizo langu kwa hosp hii ni la kawaida na nategemea kuwa Tanzania mapema sana kumalizia mambo ya uchaguzi.Simu yangu ni +31641998601

Mpiga xray aliamua kufanya deal akaficha ili atafutwe nikawa naambiwa yuko wizarani nami najiuliza hizi xrays zatakiwa kuwa kwenye kitengo cha kuzichukua tu ukija je zangu zina nini ? Hii ndiyo Tanzania ambayo hata Doct bingwa jina nitalisema baada kusema anifanyie OP na kunipangia kitanda nikamwambia naenmda kufanyia nje alikataa kujaza hata form zangu za kupanda ndege hakika nime saidiwa nje ya Muhimbili . I am scared kwa kweli
 
Mkuu pole sana...ila hold the grudge for the time at hand...pona kwanza kaka....mengine yatafata ukiwa na afya njema!
Get well soon Lunyungu.
 
Pole sana ndugu yangu. Amini kwamba Mungu wako ni mkubwa na hashindwi kitu. Kama amekutoa katika mikono ya wauaji, basi anakupenda sana na utapona.

Mwamini Mungu tu na utakubebea matatizo yako yote. Nakuombe upone salama ili kazi ya kuikomboa nchi yetu iendelee kwa nguvu mpya!
 
Pole sana ndugu yetu Lunyungu, Mwenyezi Mungu atakupa afueni na tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu Upone haraka.
 
Kweli bro wewe ni mpiganaji wa ukweli. Nilitaka kukupa pole tena ila baada ya kusoma post hii nimeamua kukupa hongera, umepona
 
Pole mkuu wangu, pole sana. Mungu atakujaalia utapona tu, ninaamini. Huo ufanyiziaji ulioutaja hapo hata mimi nimetishika sana. Nafahamu kuwa kuna rushwa pale Muhimbili, kila kitengo. Nilishawahi kuuguza mtoto pale alikuwa na matatizo ya moyo, nilisumbuka sana. Huko X-ray na kile kitengo cha kupima echo ya moyo nilikoma kabisa, yaani kuna rushwa inayozidi ile ya trafiki wa barabarani. Kila mtu ni mla rushwa kuanzia wale manesi wanaovaa mavazi yenye rangi ya binzari! Aliyenisaidia ni daktari mmoja tuliyesoma wote zamani sekondari ambaye wakati huo alikuwa anafanya postgraduate yake ya surgery, na yeye pia ilibidi ageuke agent wa rushwa hiyo maarufu inayoitwa CCD. Ndipo tukaweza kuandikiwa rufaa ya kwenda India ambayo ilinirudisha kwenye foleni ndefu sana pale wizara ya Afya. Pale alinisaidia sana daktari anaitwa Sawe, huyu namtaja maana kweli alikuwa hanijui hata kidogo, na alinisaidia bila kudai kitu chochote, mtoto akapelekwa India (baada ya miezi 3 ya kusubiri) akafanyiwa operesheni akarudi salama.

Tuko pamoja mkuu, ugua pole, upone haraka urudi tuendeleze mapambano dhidi ya mafisadi ambao wako kila mahali hata huko hospitalini!
 
Pole sana Lunyungu kwa kuugua, Mungu ni mwema na kwa kupitia madaktari wa huko, utapona kabisa. Kama kuna kitu chochote ambacho wanaJF tunaweza kukusaidia, usisite kusema.
 
Lunyungu, umenipa matumaini kwamba unarejea kwenye hali yako... i smiled when i read this part of your post, sababu kubwa ni kwamba jasiri haachi asili!!!! HUJASAHAU SOCIAL RESPONSIBILITY YAKO mara tu ulipopata kanafuu kadogo

do you have anyone we can contact in Tanzania to support kwa chochote?
 
Bado sijaelewa kwa nini binadamu wengine wana roho mbaya kiasi hii,Mtu uko kwenye maumivi yeye anafanya ufisadi hata kwenye afya yako.inatia uchungu.Ni kweli tunahitaji mabadiliko
 
Ni vema umepata nguvu ,nakutakia maendeleo mema ki afya
 
pole sana kaka, god is always ontime, he'll heal him
 
God is always on time, Anafanya miujiza, Nakuombeaa,
 
Bado sijaelewa kwa nini binadamu wengine wana roho mbaya kiasi hii,Mtu uko kwenye maumivi yeye anafanya ufisadi hata kwenye afya yako.inatia uchungu.Ni kweli tunahitaji mabadiliko
Hospitali ya TUMAINIA walinipotezea my first born kwa ungese kama waliotaka kumfanyia LUNYUNGU.

Nchi hii maisha yetu yapo rehani mikononi mwa vichaa waliohong vyuoni ili wapate digree zao.

I will walk with my gun my next visit to hospitali
 
Pole sana Lunyungu... MUHIMBILI yetu,ambayo JK ameitawaza kuwa Special Hospital... Ni HELL... Zaidi ya Ward ya wazazi sidhani kama kwingine kuna nafuu...
 
pole kaka
god is great he wl do the nidfull on his tyme
ma hope is high on t
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…