Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Bado sijaelewa kwa nini binadamu wengine wana roho mbaya kiasi hii,Mtu uko kwenye maumivi yeye anafanya ufisadi hata kwenye afya yako.inatia uchungu.Ni kweli tunahitaji mabadiliko

:A S-danger:Jambo ambalo nilikuwa siamini ni kukosekana kwa maadili katika sekta ya tiba. Matabibu wengi kwenye Hospitali kubwa hawana hata chembe ya utu japo walikula kiapo kutumikia wagonjwa kwa ujuzi wao wote. Sasa sina imani nao na ninaogopa Hospitali hizo maana linalofanyika huko ni uuaji mtupu lakini kwa vile wanalindwa na sheria ndiyo maana hata wanapoua hawaonekani kuwa wametoka nje ya maadili ya taaluma yao. Amin usiamini ndio madaktari wetu na iwapo mtu ataumwa nashauri awe mwangalifu sana. Pole sana Lunyungu na ugua pole. Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye yote. Nakutakia upone haraka.
 
Lunyungu... Mungu akupe nguvu na heri... Utapona...:amen:
 
Pole sana kaka, Mungu akusimamie katika Operation yako. Get Well Soon!
 

Mkuu kwa lolote naomba wasiliana na PakaJImmy yeye anaweza kukusanya lolote kwa niamba yangu .
 
Mkuu Lunyungu,

Naamini mungu ataendelea kukupigania na utarejea katika hali nzuri na utaendelea na mapambano kama kawaida.Inasikitisha kuona kwamba watu wanaacha kufanya kazi kwa misingi ya taaluma zao na kukimbilia kwenye ufisadi tu.

Mungu ni mwema utarudi ukiwa na nguvu na uweza/uwezo zaidi.

Tunakutakia kupona haraka
 

man, i can feel your pain, your desparation, your hope, and your gratitude to those around you physically, virtually and in prayers. Through hardship of yours i learn a lot. I solemly pray that you recover, bro. And this PJ guy...una utu, bro
 
Pole sana ndugu yetu. Hawa madaktari na manesi wana kiburi cha uzima ndiyo maana hawaoni haja ya kuwahudumia wagonjwa kwa upendo. Mungu yupo upande wetu na ninakuombea upone haraka.
 
Ohh Bwana Yesu, Kutana na maumivu ya ndugu yetu Lunyungu na kuyafuta kwa damu yako. Na ninaamuru uzima katika mwili wake maana kwa kupigwa kwako pale Calvari ulitangaza uzima kwake.
Kwa, jina la Yesu Amina.
 
Hospitali ya TUMAINIA walinipotezea my first born kwa ungese kama waliotaka kumfanyia LUNYUNGU.

Nchi hii maisha yetu yapo rehani mikononi mwa vichaa waliohong vyuoni ili wapate digree zao.

I will walk with my gun my next visit to hospitali
hiyo last stmnt imenifanya nicheke kwa sauti hadi watu wanishangae, kweli tunahitaji mabadiliko!
mkuu Lunyungu, amini umekwisha pona, ni makovu tu yanaishia sasa.
 
Lunyungu,
Mkuu pole sana na Mungu atakulinda bila shaka..
Ili kutuondoa hofu mkuu wa, nauliza tu hukugombea Ubunge maanake..haaa! haaa! haaa!
 
Mwenzenu sijapata taarifa zake wala updates za Member mwenzetu.
Niliibiwa simu nimepoteza namba zake za huko hospitali alipokwenda.
Any updates zake jamani??
 
is doing great, was discharged from the hospital in God willing will soon be here/JF
 
Ni vyema ingeanzishwa thread mpya kwani title ya thread hii inashtua sana, na kama mtu hujaangalia tarehe ambayo mara ya mwisho watu walipost unaweza kufikiri bado hali yake ni mbaya. Naombeni muache kuchangia hapa, kama kuna haja basi new thread yenye title updated ianzishwe. Ikumbukwe kuwa kabla ya leo, mtu wa mwisho alipost tarehe 22/09/2010, sasa sijui kwa nini Msanii umeirudisha humu leo.
 
Nilikuwa sijaiona hii, ni heri Jabulani umesema maana nilistuka hasa sikuwa nimetazama tar. Mungu azidi kumsaidia.
Na kama Ndg Jabulani alivyoshauri ni vyema hii ikafungwa na kuanzishwa thread mpya ya kufuatilia maendeleo yake.
Pole sana ndg yetu Lunyungu!
 
Hakika Mola amuhafu na manusuru mwenzetu kwa maradhi yamsumbuayo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…