Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Kivipi fafanua

Yaani mtaalam alietoa hicho kibao alimpa jamaa masharti, miongoni mwa masharti hayo ni kwamba asiende nacho hicho kibao kwenye misiba auharusi!

Sasa hapo jamaa amefafanua huenda mtaalamu alikakataza kwenda nacho sehemu hizo ili kuepuka kuua halaiki ya watu maana sehemu hizo ndio mambo mengi ya kishenzi hufanyika.
 
Dah wakuu usiku wa kumkia leo nimeibiwa TV Samsung flat 49 inches. Jamaa wameruka fence wakatoa lock ya kioo cha dirisha wakavunja nondo wakazama ndani wakafungua TV ukutani. Hii ni mara ya pili wananiibia TV, mara ya kwanza ilikua mwaka 2018 kwa style hiyo hiyo. Huyu babu hawezi kuwa na namna ya kudhibiti wezi ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa wa jana? Au kama kuna yoyote mwenye uwezo wa kuwakamata wafundishwe adabu maana wamenichosha na wanarudisha nyuma sana.

Nimeweka picha ya nondo walizokata kisha wakaziacha hapo chini.
 
Pole sana mkuu, mimi pia wamenijeruhi hivi majuzi ila kuna initiatives nazifanya lazima watage wahusika, ungeanza kwa kuzoa michanga ya nyayo zao kisha uwaone wataalam hao wezi wasingetamba!
 
Nazani nimuda wawatalamu kuja na GPS zakufunga kwene Runinga.nami nimhanga mwaka 2018 nikiwa safarini waliniotea
 
Idea nzuri sana Mkuu, tatizo hao wataalamu nawapata wapi sasa? Njoo PMS tuyajenge Mkuu
Nikifanikiwa kuwapa discipline wezi wangu nitakushtua mkuu, hatua ya kwanza ni wewe kuzoa mchanga wa nyayo zao, hifadhi, kisha tuwasiliane after a week from now. Nb, usitumie kiganja cha mkono kuzoa tafuta hata karatasi ngumu.
 
Nikifanikiwa kuwapa discipline wezi wangu nitakushtua mkuu, hatua ya kwanza ni wewe kuzoa mchanga wa nyayo zao, hifadhi, kisha tuwasiliane after a week from now. Nb, usitumie kiganja cha mkono kuzoa tafuta hata karatasi ngumu.
Nimekupata vyema Mkuu ntakutafuta after one week
 
Duh noma sana vp mkuu walikuibia mida gani? Nadhani hao wezi wanakufahamu bahadhi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuanzie hapo tu kua hizo sio nondo, ni flat bars. Hizo kukaa madirishani ni urembo tu hasa hizi za 2mm, sio kwa ajili ya security.

Pili ndo Kitoabu atuambia kama Mzee Lupatu anaweza hii kazi umuibukie.

Tatu Pole sana mkuu
 
Kipato cha ushirikina hakitakupeleka mbali.
Ushirikina utavuna nduguzo.
 
Mkuu ukifanikisha usisite kuwasiliana nami nimekipenda ila sitaki kukimiliki.
Pia utamuulizia mzee namna ya kuwakomesha wezi na matapeli.
Kiufupi hawa watu wanarudisha sana maendeleo ya watu.

Sawa mkuu ila swala la matapeli na wezi nimejikuta nachekaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Polee sana Mkuu mimi pia nimhanga nina hasira na hawa watu basi tu.
Ukiipata dawa yao nijulishe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…