Njia ya kwenda huko haipitii kambi ya Al Shabaab wale Jamaa wanaochinja watu kweli?Walioenda huko kwa mzee wa Lupatu tuomba feedback na sisi twende ikipendeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Njia ya kwenda huko haipitii kambi ya Al Shabaab wale Jamaa wanaochinja watu kweli?
Hii mbona ilishaisha siku nyingi sana????...malizia hii.
Bado mkuuWalioenda huko kwa mzee wa Lupatu tuomba feedback na sisi twende ikipendeza.
Itabidi muda ukiwadia tufungue uziUkianza mchakato safari nitaarifu nimepamic mueda
Waliita uchawi kuuharibia image tu mkuu zile ndio imani zetu za asiliBado watu wanaamini uchawi mpaka leo?
Bado watu wanaamini uchawi mpaka leo?
William Shakespeare alisema, ua la waridi litanukia vizuri, hata ukiliita kwa jina tofauti.Waliita uchawi kuuharibia image tu mkuu zile ndio imani zetu za asili
Kama ni kwa minajili ya stories tu, mbona hata riwaya za kutisha zipo na kwenye movies horror movies zina washabiki wengi tu.Na sie wengine tunapenda story kama hizi za kutishatisha, iwe kweli au za kusadikika. Angalia threads zenye masuala ya kichawichawi utaona wachangiaji wanavyokuwa wengi
Mimi na kupenda kusikiliza story, Hizi habari Baba Angu mdogo ni mmakonde wa Del gado alishawahi kuniambiaga huko kwao zipo za dawa unatembea nayo popote utakapoenda basi nyumba 10 wajue hawawangi.
Zingine unapikwa kwenye pipa la maji ya moto yanayochemka[emoji23] Nyie uchawi upo
Mkuu huamini watu wanarogwa?William Shakespeare alisema, ua la waridi litanukia vizuri, hata ukiliita kwa jina tofauti.
Tatizo si jina, tatizo hizo imani zina msingi wa ukweli au la?
Kama ni kwa minajili ya stories tu, mbona hata riwaya za kutisha zipo na kwenye movies horror movies zina washabiki wengi tu.
Sina tatizo na riwaya, lakini, kama ni riwaya, tuweke wazi hii riwaya na si habari iliyotokea kweli.
Mkuu huamini watu wanarogwa?
kivipi mkuuNdiyo maana unanichunia siyo
Duu wakuu Wa lupatu kwani na ngende kwa bibi Likunji hapafui dafu mpaka msumbiji kweli ama tunaenda kuitafuta ruby
Haya sio imani tu maana tuna shuhudaKumbe inabidi iwe imani?