Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Na sie wengine tunapenda story kama hizi za kutishatisha, iwe kweli au za kusadikika. Angalia threads zenye masuala ya kichawichawi utaona wachangiaji wanavyokuwa wengi
Kama ni kwa minajili ya stories tu, mbona hata riwaya za kutisha zipo na kwenye movies horror movies zina washabiki wengi tu.

Sina tatizo na riwaya, lakini, kama ni riwaya, tuweke wazi hii riwaya na si habari iliyotokea kweli.
 
Mimi na kupenda kusikiliza story, Hizi habari Baba Angu mdogo ni mmakonde wa Del gado alishawahi kuniambiaga huko kwao zipo za dawa unatembea nayo popote utakapoenda basi nyumba 10 wajue hawawangi.
Zingine unapikwa kwenye pipa la maji ya moto yanayochemka[emoji23] Nyie uchawi upo

Ndiyo maana unanichunia siyo
 
Kama ni kwa minajili ya stories tu, mbona hata riwaya za kutisha zipo na kwenye movies horror movies zina washabiki wengi tu.

Sina tatizo na riwaya, lakini, kama ni riwaya, tuweke wazi hii riwaya na si habari iliyotokea kweli.

Mzee bora umekuja nilikuwa kila niki digest hizi habari sipati kitu
 
Back
Top Bottom