Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Eti chupa ya bia ikipasuka natoa sauti kuubwa *****[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
H
Bado watu wanaamini uchawi mpaka leo?
Habari ndo hiyo mzee,
Miezi mitatu iliyopita sehemu niliyokuwa nilikuwa nasikia sana kuna uchawi uchawi lakini nilikuwa siamini, kuna siku nililala kuamka asubuhi nakuta nywele zangu kichwani zimenyolewa na usiku kabla ya kulala zilikuwa ziko vizuri,
Upo hapo
 
Kwa hiyo nywele kunyolewa bila wewe kujua zimenyolewaje tayari ni uthibitisho kwamba uchawi upo?

Kwanza una ushahidi kwamba nywele zilinyolewa hivyo na si kwamba unatupiga fix tu hapa?
 
Kwa hiyo nywele kunyolewa bila wewe kujua zimenyolewaje tayari ni uthibitisho kwamba uchawi upo?

Kwanza una ushahidi kwamba nywele zilinyolewa hivyo na si kwamba unatupiga fix tu hapa?
Sina ushahidi Kivip wakati pamekuwa Para kabisa, watu waliniambia Vip hizo nywele mbona hivo kucheki hivi lahaula nikajiselfii nione palivo 😢😢
 
Kama watu wanaamini Mungu yupo
Na dini wanaziamini na dini zimewaambia uchawi upo..
Why wasiamini uchawi upo??
Imani ya dini/Mungu na imani ya uchawi kimsingi ni ile ile tu.

Imani ya supernatural powers.

Ndiyo maana mimi nazikataa zote na naelewa point yako kwamba ukiamini habari za dini/ Mungu, kupinga habari za uchawi ni vigumu.
 
Binafsi naamini kitu nachokiona

Nimeshashuhudia vitu vya ajabu kweli
 
Imani ya dini/Mungu na imani ya uchawi kimsingi ni ile ile tu.

Imani ya supernatural powers.

Ndiyo maana mimi nazikataa zote na naelewa point yako kwamba ukiamini habari za dini/ Mungu, kupinga habari za uchawi ni vigumu.
Dini zote zinataka uamini bila kupinga chochote.. Dogmatic ndo msingi

Ndo maana kina Galileo waliuwawa Kwa
Kuanza kuhoji hoji mambo na kuongea tofauti na imani ilivyosema..

Ndo maana humu kuna threads watanzania wanararuana sababu ya dini
Wapo wanaoitetea Israel humu wakiamini
Wapo pamoja na Yesu hata kama Israel inaua innocents Palestinian children..wao kwao roho kwatu wakiamini waisrael ni watu wa Yesu hata kama Jewish religion yenyewe haitambui Yesu wala kumtaja
 
Point mkuu,watu wanawatukuza waisrael wakati yesu hawamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…