Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Mungu ni nini?

Naona umeng'ang'a unaamini, unaamini, hivi unajua kama kuamini ni ujinga?

Mtu akisema naamini maana yake anasema yeye ni mjinga na yuko tayari kudanganywa.

Sasa nawaewa kama hamuamini uwepo wa Mungu pia hamtakaa muamini uchawi

Ula kwa anayeamini uwepo wa Mungu atakuwa mpumbavu asipoamini uchawi.
 
Siyo ubishi!

Msimchukulie mtu kuwa ni mbishi!

Mjibuni maswali yake yote kwa ufasaha ili yamkini kama atawaelewa ataweza kukubali kutiwa maji aweze kuslim au kumpokea Yesu Kristo na kumwamini mazima!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi! [emoji3][emoji3]
 
Ilimradi uwe na stamina, kifua na ustahamilivu katika kujadiliana nao!

Wala msifanye haraka kuwahukumu na kuwaona wakosa au wabishi la hasha!

Kwanza lazima ujue kuwa humu ndani kuna watu wengi sana na Penye wengi hapakosi kuwa na mengi!
 
Siyo ubishi!

Msimchukulie mtu kuwa ni mbishi!

Mjibuni maswali yake yote kwa ufasaha ili yamkini kama atawaelewa ataweza kukubali kutiwa maji aweze kuslim au kumpokea Yesu Kristo na kumwamini mazima!

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi! [emoji3][emoji3]
Amejibiwa vizuri tu pengine ni tatizo la uelewa au ujuaji
 
Amejibiwa vizuri tu pengine ni tatizo la uelewa au ujuaji

Wala msiwachukulie kwa mtazamo hasi wala nini!

Kama bado ana maswali inabidi muendelee kumjibu kwa upendo hadi atakapoona ameridhika!

Kama anarudia swali lile lile mwambie arejee kwenye jibu namba fulani kama mlishamjibu.
 
Back
Top Bottom