Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanasema ukiua mchawi,watakutafua miaka yote maana eti wana ushirikiano sana?Sasa hiyo unayo tembea nayo na mchawi hatambi nyumba kumi, ndio hiyo LUPATU.
Dada, hiyo hata mchawi apite zake tu (akiwa na uchawi mfukoni) lazima imvute.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa asie ijua Ruby, hii ndio Ruby.
Ukikutana na uzito huo, lazima ulale na kina Wema sepetu.
Zuchu mwenyewe hachomoki hapo. View attachment 1571029
[emoji2][emoji2]Kwa asie ijua Ruby, hii ndio Ruby.
Ukikutana na uzito huo, lazima ulale na kina Wema sepetu.
Zuchu mwenyewe hachomoki hapo. View attachment 1571029
Daaa kuna rafiki yangu anaitafuta kama chizi hii na red mercury.Kwa asie ijua Ruby, hii ndio Ruby.
Ukikutana na uzito huo, lazima ulale na kina Wema sepetu.
Zuchu mwenyewe hachomoki hapo. View attachment 1571029
Woyooo!Wakuu kesho naenda kukata veni, naomba muniombee nikutane na madini kama yote.
Naahidi niki kutana nayo, wote mtalewa humu (kama wanywaji)
Mgao kuanzia $10,000 US dollars, lazima nije nitumie Tanzania, labda kama watakomaa kufungua mipaka. Mungu atupe uzima na atuamshe salama.
Kila la heri mtafutaji usiechoka aamin aaamin.Wakuu kesho naenda kukata veni, naomba muniombee nikutane na madini kama yote.
Naahidi niki kutana nayo, wote mtalewa humu (kama wanywaji)
Mgao kuanzia $10,000 US dollars, lazima nije nitumie Tanzania, labda kama watakomaa kufungua mipaka. Mungu atupe uzima na atuamshe salama.
Ha ha ha ha Hao Jamaa Balaa...Mimi nisingerudisha hiyo dawa mpaka niombwe na raia tena kwa magoti.Wachawi walaaniwe.
Daaah! Nimefuatilia mpaka mwisho!Walipo rudi na yule mzee, hata mimi nilikua tayari nisha toka nje, tayari kusaidia kazi za hapa na pale.
Nakumbuka mimi na jamaa flani tuliingia alipo lala maiti nakuanza kutoa vitu vilivyo mle ndani.
Yule mzee alipo fika akaingia mpaka chumba alicho lala maiti, (nahisi kuna mila zilifanyika humo.
Kama dakika 30 yule mzee akatoka mle ndani.
Shauku yangu kubwa ilikua ni kujua kua mwenyeji wangu yuko nae vipi yule malehemu?
Nilitamani kumuuliza lakini nilishindwa kutokana na hali aliyo kua nayo.
Mala, kukaanza kupambazuka, nikashukuru.
Nikajifanya kama nakwenda dukani kununua sigara, lakini akili yangu ili niambia niwahi kugonga paspoti yangu nitembee.
Nilivyo fika pale magresheni, kalibu kuna kiduka, nikanunua sigara nikalipua.
Kipindi naendelea kuvuta sigara, mala kaja mteja pale dukani, nakuanza kumpa habari za msiba yule muuza duka.
Nasikia, "malehemu kafa kwa kujipiga uchawi" nikaona ohooo, ngoja niingie kwa afsa uhamiaji nikagonge mie.
Nilipo gongewa tu paspoti yangu nikachukua tonda safari ya kwenda mtoni (Ruvuma)
Kuna kitu kilikua kinaniuma sana moyoni mwanangu.
Kitendo cha kuondoka bila kuaga, ukizingatia jamaa alini karimu kama ndugu yake, njia nzima nilitembea nikiraani.
Nilivuka Ruvuma, nikaenda mpaka magresheni ya Mocambique nikagonga paspoti yangu na kuingia ndani ya gari tayari kuitafuta Mueda.
Kama mida ya saa 6 mchana nikawa nishaingia Mueda.
Siku chelewa nikachuka gari iendayo Montepuez nikashuka Shapa.
Nilivyo shuka Shapa, (nyumba ya mzee LUPATU ipo barabani kabisa) nikaingia mpaka ndani na kumkuta mzee.
Mzee alipo niona alifurahi sana, akaniuliza maswala ya Tanzania, na kunitania hapa na pale (Wandengereko & wamakonde ni watani )
Nilijiuza naanzaje kumwambia kua nimekuja kuirudisha ile kinga?
Lakini nikikumbuka yale matukio, niki kumbuka mama yangu alivyo nihusia niirushe nilipo itoa, nika jipa moyo kumkabili huyu mzee.
Nikamwambia " babu nimeirudisha dawa yako, nitawamaliza Wandengereko"
Kwakua ni mtani alicheka na kuniambia, "unge wamaliza kweli, nyinyi Wandengereko ni wachawi sana".
Nilitulia pale mpaka jioni.
Kiza kilipo anza akaniita uwani na ndoo ya maji (Dawa) akaniogesha kama mwanzo.
Akanichukua tena mpaka kilingeni, nakuniamuru nikirudushe kile kibao kwenye ungo.
Kwenye ungo nilivikuta vile vibao vingii, na mimi nikakiacha humo kwenye ungo.
Kwakua ni usiku nili lala mpaka hasbuh.
Palipo kucha nikamuaga mzee kuwa naondoka.
Kwa mas hara yule mzee akaniomba anipe dawa nyingine.
Hii sio kinga, bali ni ndago ya utajiri (chuma ulete)
Yani aliniambia anipe nyoka atakae kuwa na uwezo wa kuingia madukani na kichota pesa na kuniletea.
Tena mpaka dawa yenyewe alinionyesha, yani ni kama kamba, lakini aliniambia kuna maelekezo akinipa basi hiyo kamba inaweza kugeuka nyoka na kuingia duka lolote na kuniletea pesa.
Siku taka hata kumchelewesha, nilimkatalia, na kumwambia mimi bado ni mdogo, sintaweza kuvitumia vitu hivyo.
Mida ya saa 2 asubuhi, gari ikapita nikaingia nakurudi zangu mgodini.
MWISHO.
Nikifika hapo nacheka mnooNeno jipya nililoshika hapa Ni KUMWEKUA MWEKUA........
Sio mchezo
Alikuwa dr wa mifugo dsmYupi huyo? Yule wa UVCCM? Naipata sana Bungu