Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Weka namba ya mzee nikachukue kibao ambacho najua kitanisaidia mambo matatu, kwanza kujilinda na uchawi, pili kuwakomesha washenzi wanaoniroga na tatu kitanipa umaarufu maana nikifika eneo la tukio najinadi kabisa kuwa hapa patakufa wachawi watakao nichezea na kwamba mimi sina hatia wakifa maana nawakanya hapa na nyote mnasikia.
Usiku chombo kikianza kumwekua mwekua nalipuliza tartiiiiibu huku nikitabasamu, chupa ya bia ikivunjika natoa sauti kubwa "MAAMAEEEE" [emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Speaking of kukimbia na mtaji daaah kuna mtu kajua kuniweza mwaka huu zaidi ya million 4 amekula kimasikhara ,yan nimepungua kutoka kilo 75 hadi 55 within a month ,kila nikiwaza cha kumfanya nakosa nguvu[emoji24][emoji24]
Pooole sana yaani watu wa hivi wanatia hasira sana ila nakuhakikishia mwisho wao huwa si mzuri. Kuna li mtu nililiweka kwenye biashara ilivyonoga likakimbia na mtaji wooote.
Nlilaani balaa yaani kwa hasira nilizokuwa nazo kipindi hicho ningepata hii lupatu ningeliloga tu, la baada ya muda kusonga nilizoea hali. Majuzi mke wake naniambia walishaachana kwa sababu ya jamaa alikuwa kama kachanganyikiwa kila siku ni kumpiga mke. Aseee hii dunia acha tu ila malipo huwa ni hapa hapa.
 
Pooole sana yaani watu wa hivi wanatia hasira sana ila nakuhakikishia mwisho wao huwa si mzuri. Kuna li mtu nililiweka kwenye biashara ilivyonoga likakimbia na mtaji wooote.
Nlilaani balaa yaani kwa hasira nilizokuwa nazo kipindi hicho ningepata hii lupatu ningeliloga tu, la baada ya muda kusonga nilizoea hali. Majuzi mke wake naniambia walishaachana kwa sababu ya jamaa alikuwa kama kachanganyikiwa kila siku ni kumpiga mke. Aseee hii dunia acha tu ila malipo huwa ni hapa hapa.
Asante best yaani unaweza kukufuru ,lakini yote kheri naamini Mungu atanilipa na pia nimepata funzo Dont trust anybody.
 
Dah wakuu usiku wa kumkia leo nimeibiwa TV Samsung flat 49 inches. Jamaa wameruka fence wakatoa lock ya kioo cha dirisha wakavunja nondo wakazama ndani wakafungua TV ukutani. Hii ni mara ya pili wananiibia TV, mara ya kwanza ilikua mwaka 2018 kwa style hiyo hiyo. Huyu babu hawezi kuwa na namna ya kudhibiti wezi ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa wa jana? Au kama kuna yoyote mwenye uwezo wa kuwakamata wafundishwe adabu maana wamenichosha na wanarudisha nyuma sana.

Nimeweka picha ya nondo walizokata kisha wakaziacha hapo chini. View attachment 1575000
Munguuu wanguu,,hv dirisha likiwaa locked wanalifunguaa vipi jmn,uwiiiiii
 
Laki tatu nauli ya mtu mmoja duh! Mi nilitamani nibebe dada,kaka na mdogo wangu mana kwenye familia yetu tunateseka sana marehem Babu yangu aliowa wake wa3 wa kwanza bibi angu wapili alikua mkwere Akaona mambo mengi akaachia ngazi Ila huyu wa mwisho mzigua anavyotufanya haki nikipata hiyo Kinga akijaribu halaf vikianza kummwekua naomba asikate roho Kwanza acomfess ndiyo afe na ntakunywa wine siku ya msiba kiukweli Mungu atajua Tu kasambaratisha familia marehem Babu yangu alikua na upendo sana namuonea huruma bibi yangu mwenyewe anatusisitiza tusije kuolewa ndoa za ukeweza kama mwanaume alishaoa au hata kama kaoa kama mke alofatia unahisi ai kuona mambo mengi achia ngazi na nimeapa kama sijabahatika kuolewa basi Bora nizeeke tu nyumbani na katika Kabila nachukia wazigua nyumba ya Babu yangu ilikua ikiitwa nyumba ya wangoni asahv Hakuna hata ndugu au mjukuu alobaki ni huyo mzigua na ndugu zake wengine wote tunaogopa kwenda Hadi majiran wanaojua vizur family yetu wanaita kibindu family (wazigua wa kibindu)kiukweli kaka kuna mzigua anisamehe siwezi mpenda
[emoji26] pole sana dada
 
Back
Top Bottom