Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Lupatu: Kinga dhidi ya wachawi na uchawi

Panda gari ya Newala, ukishuka newala stand utachukua boda boda ziendazo Nkunya.
Boda boda itakuchukua mpaka mpakani, utagonga paspoti upande wa Tanzania, hivyo safari ya boda boda Itaendelea mpaka Ruvuma.

Ruvuma utapanda mtumbwi utakao kuvusha mpaka ng'ambo ya mto.

Ng'ambo ya mto utaikuta magresheni ya Mocambique, hapo napo utagonga paspoti yako.

Hapo Magresheni ya Mocambique utakutana na gari za mpakani, itakayo kupeleka mpaka Mueda (wilaya ya kwanza, ya mkoa wa Cabo del Gado ukitokea newala)

Mweda ukimuuliza mtu yeyote kua unakwenda Shapa kwa mzee LUPATU, hata mtoto mdogo atakupeleka.
Noted
 
Mkuu nilikuwa nimeplan nikukaribishe kwangu mitaa fulani ya kisesa kuna vigagula balaa hadi nashindwa kuhamia kwenye hiyo nyumba kwa story nazopewa na wenyeji zangu zinatisha Mkuu.
Nakuomba uhamie usiogope. Pia MIE naishi karibu na huko. Nitafute nikupe Ushauri tu ndugu. Nipo kata ya Kishiri na igoma. Muda mwingi napatikana
 
Wengi sanaaa ila nadhani itakuwa nafuu tukiwa wengi, maana tutakuwa tunapeana stori za hapa na pale hadi tunafika, kwa hayo maelezo inaonekana ni mbali sanaaaaaaa huko kwa huyo babu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni mbali wanasema ina chukua week kufika,pia inaweza fanya urahisi wa usafir tukiwa wengi
 
Back
Top Bottom