Lupela ya Ali Kiba kwenye MTVBASE kwa mara ya kwanza kesho

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016 kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASEambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo itazidi kuonekana nje ya mipaka ya Tanzania na kuzifikia nchi nyingine za Afrika kwenye mamilioni ya watazamaji wa MTV BASE
 
Hawa MTV washakuwa majipu maaana ......
 
Itakuwa ya upcoming artist....???
 
hongera zake , maana sikuhizi hadi video za kina msami baby , shilole, chege zinapigwa huko MTV base , nilishangaa kwanini za Alikiba hazipigwi
 
Halafu we unajiita baby sijui demu, au hiyo picha kwenye avatar Ni ya dadaako? Au punga wewe?
Me punga mwananguu unasemaje.. Siyo dadangu huyo mm nimevaa nguo ya kike... Unasemaje
 
Halafu we unajiita baby sijui demu, au hiyo picha kwenye avatar Ni ya dadaako? Au punga wewe?
Unaumwa ugonjwa mmoja hivi unaitwa KIBA FEVER... maana umepanic had unachekesha hahahaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…