eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii aibu tuiache hapa hapa....
Itachafua jina LA Tanzania.
Hakuna vidio kama lupela vidio zote zimefanana ila lupela ni ubunifu mwingine
Ahaaaa haaa sawa braza....ndio hao nawasubir bàada ya kuwamisHaya maneno yako naomba baadhi ya watu wasiyaone
Ahaaaa haaa sawa braza....ndio hao nawasubir bàada ya kuwamis
Ahaaaa.... Team wanyama pori...kazi kuvaa vibaya kwenye show za nje...kuahribu jina LA Tz..ndio maaana huez kuta Haata Siku moja balozi kasingiziwa ni mganda. Au mkenyaHa ha ha, wako kwenye kampeni ya kupinga ujangiri. Hutawaona humu, wanamsaidia balozi wa wanyama kazi.
siko upande wowote kati ya ali k na diamonds coz ni team za majungu na ni kigenge cha watu ambao wengi ni mbumbumbu na kiukweli watasababisha hao vijana kuja kufulia sana.....but kwa sasa kuna dam changa ila ni ina hits the rock (barakah da prince) huyu hajazungukwa na team za kipuuzi...Diamond alipochukua saba mlifuraaaah Leo mnasema siyo tuzo hahahahaaaaa "SIZITAKI MBICHI HIZI"..Hop ulikisoma kitabu hiko
Hahahahaaaaa usiwaite watu wapuuz kwa kuwa hawaamini kama unavyoamini ww Mzee LIBERTY... Freedom to live as u wish, hatuwez kuwa na mtazamo sawa.. Na kufulia ni mipango tu ya Mungu mbna MR NICE hakuwa na team na kafulia Mzee Baraka msanii mzur anayechipukia bt kamuulize nan kamfanya apende kuimba utatajiwa wale wale tuu Alikiba na Diamond haikwepek Mzee, jifunze kuheshimu hisia na maamuz ya wengine thankyu.siko upande wowote kati ya ali k na diamonds coz ni team za majungu na ni kigenge cha watu ambao wengi ni mbumbumbu na kiukweli watasababisha hao vijana kuja kufulia sana.....but kwa sasa kuna dam changa ila ni ina hits the rock (barakah da prince) huyu hajazungukwa na team za kipuuzi...
Siyo kasingiziwa Watu hawamjui diamond hapo kusini mwa Afrika na ndo maana wameandika ni RAPPER hahahaaaa diamond ana rap toka lini?.. Apart from that kiba ni mwanamuziki siyo mwanamitindo pia tuoneshe hiyo picha alovaa vibaya nje ya nchi.