nchwebe milinga
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 255
- 87
ali kiba zamani saivi hapana labda tumsubirie mtu mwingine......Kwani me nimesemeje bro mbna umepanik hahahaaaaaa.....nipige bas
Kweli sana aysee ndo maana alichukua tuzo 5 mbele ya msanii anayeaminika kuwa ni bora Afrika hahahaaali kiba zamani saivi hapana labda tumsubirie mtu mwingine......
tuzo za tz zenyewe za kinyoko ndyo maana wasanii wengi wenye akili timamu walitishia kujitoa.............hata ivo tuzo 5 za kill ni sawa na moja tu ile ya mtv aliyopewa diamond.........Kweli sana aysee ndo maana alichukua tuzo 5 mbele ya msanii anayeaminika kuwa ni bora Afrika hahahaa
Punguza kukurupuka mkuutuzo za tz zenyewe za kinyoko ndyo maana wasanii wengi wenye akili timamu walitishia kujitoa.............hata ivo tuzo 5 za kill ni sawa na moja tu ile ya mtv aliyopewa diamond.........
wewe ni jipu........Punguza kukurupuka mkuu
Nani mwenye show za kuunga unga kati ya kiba na hao uliowasema coz kiba show zake mwisho Kenyahaina shida as long as show anapata na maconnection kibao, wakati hao nyimbo zao zinazopigwa mtv show za kuungaunga
poa poaNani mwenye show za kuunga unga kati ya kiba na hao uliowasema coz kiba show zake mwisho Kenya
Basi Diamond HANA AKILI TIMAMU maana hajajitoa yeye hahahaaaaatuzo za tz zenyewe za kinyoko ndyo maana wasanii wengi wenye akili timamu walitishia kujitoa.............hata ivo tuzo 5 za kill ni sawa na moja tu ile ya mtv aliyopewa diamond.........
Kiba wakati diamond *ANAOMBA* kurekod kwa Bob junior kiba alikuwa kwenye show MAREKANI kiaz ww hapo diamond wenu kupanda abood ya arusha tu hajawah kiaz kitamu wwpoa poa
Oooh sorry jamaa nmekosea Ujumbe siyo wako Mzee ni wa kile kiazi ulichokijibu"Poa Poa".poa poa
Diamond alipochukua saba mlifuraaaah Leo mnasema siyo tuzo hahahahaaaaa "SIZITAKI MBICHI HIZI"..Hop ulikisoma kitabu hikotuzo za tz zenyewe za kinyoko ndyo maana wasanii wengi wenye akili timamu walitishia kujitoa.............hata ivo tuzo 5 za kill ni sawa na moja tu ile ya mtv aliyopewa diamond.........
Mkuu....kiajana anaendeeleaje?Dogo nicheki kwenye simu bana, au ndo!
Mkuu....kiajana anaendeeleaje?
Nipeleke majokeli huko MTV??Hajambo aisee, vipi mkuu we ndiye uliyetumwa kupeleka Lupela MTV?
Hakuna vidio kama lupela vidio zote zimefanana ila lupela ni ubunifu mwingineKumbe ilikuwa haijaanza kuonyeshwa,walikuwa wanaifanyia SWOT Analysis nini?