Mapenzi uchizi, mmoja akiona hakifai, mwingine anakosa usingizi[emoji15] [emoji23] [emoji23]Mwache Lupita wangu wewe ,koma kabisa
Akichanganya na mbegu yangu hapa tutatoa mabint matata sasa[emoji5]mbegu ya kijaluo hiyo
Labda tunatofautiana kupima uziri,mimi kwangu mwanamke anaejipodoa podoa,mara wigi mara bandika kucha ni marufuku bin haramWaliosema 'beautiful lies on the eyes of the beholder' hawakukosea, endelea kuziishi ndoto zako mkuu..hah hah
Nadhani huu ni uongo kwa mujibu wa signature yako!Kweli kila mwanadamu anayo namna yake ya kuyachukulia mambo. Hivi uzuri wa mtu unapimwa kwa namna gani!! Si mbaya ila kwangu mimi huyu hajaingia hata kidogo kwa wadada wazuri ambao nimewahi kuwaona japo sikuwapiga picha.
Sipingani na maono yako mkuu..ndio maana nimekwambia endelea kuziishi ndoto zako! Dunia siku hizi ni kijiji!Labda tunatofautiana kupima uziri,mimi kwangu mwanamke anaejipodoa podoa,mara wigi mara bandika kucha ni marufuku bin haram
Heshima Mkuu!Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
Celebirty huyu atakutesa...jaribu kwanza kwa lacal celeb( kina wema sepetu) ukiweza panda ngazi kwenda kwa hawa internationalLupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$ ningemfata huko huko US aliko,au nimsubirie akija likizo??
Usifananishe uzuri wa mtoto lupita na huyo jamvi la wageni Wema.Lupita mzuri kwa nje mpaka kwa ndani.Celebirty huyu atakutesa...jaribu kwanza kwa lacal celeb( kina wema sepetu) ukiweza panda ngazi kwenda kwa hawa international
Oscar winner,unajua donge analokabidhiwa mshindi wa oscar?
Heshima Mkuu!Sipingani na maono yako mkuu..ndio maana nimekwambia endelea kuziishi ndoto zako! Dunia siku hizi ni kijiji!
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
Good thinking!unaeza kua sahh bt the gal she z so natural despite being a star which makes her so beutifully,,hakuna wadada wa tz wenye hela wakaish natural
Ukuaji wa teknolojia umeifanya dunia kuwa kama kijiji na hivyo kutumika kama njia ya kueneza tabia na mienendo chanya na hasi miongoni mwa jamii..sina maana pana sana ya tafsiri hii lakini kama utapata nafasi itazame dunia kabla na baada ya kuja kwa teknolojia hasa mawasiliano! Sijui kama nitakuwa nimekujibu mkuu!Heshima Mkuu!
Unaweza kunidadavulia kidogo juu ya maneno "Dunia kijiji"?.Maana yake nini?.Aliyelisema hili ni nani?.Kama si mtu mmoja basi ni Kikundi gani,Taifa gani nk?.
I think utanisaidia kuondokana na kile alichokiimba Bob Nesta Marley kuwa "Emancipate yourself from slave mind.."
Asalaam.
Umenijibu Mkuu!Ukuaji wa teknolojia umeifanya dunia kuwa kama kijiji na hivyo kutumika kama njia ya kueneza tabia na mienendo chanya na hasi miongoni mwa jamii..sina maana pana sana ya tafsiri hii lakini kama utapata nafasi itazame dunia kabla na baada ya kuja kwa teknolojia hasa mawasiliano! Sijui kama nitakuwa nimekujibu mkuu!