Lupita ni mzuri haijawahi tokea

Lupita ni mzuri haijawahi tokea

Halahala tu usimpigie "punyeto" dada wa watu kwa kuangalia picha yake
 
Ni mzuri tu kwa maana ngozi yake ni flawless
 
wakawaida sanaaaaaaaaata kama natural lakini ajanishawishi bado
 
Waliosema 'beautiful lies on the eyes of the beholder' hawakukosea, endelea kuziishi ndoto zako mkuu..hah hah
 
Waliosema 'beautiful lies on the eyes of the beholder' hawakukosea, endelea kuziishi ndoto zako mkuu..hah hah
Labda tunatofautiana kupima uziri,mimi kwangu mwanamke anaejipodoa podoa,mara wigi mara bandika kucha ni marufuku bin haram
 
Kweli kila mwanadamu anayo namna yake ya kuyachukulia mambo. Hivi uzuri wa mtu unapimwa kwa namna gani!! Si mbaya ila kwangu mimi huyu hajaingia hata kidogo kwa wadada wazuri ambao nimewahi kuwaona japo sikuwapiga picha.
Nadhani huu ni uongo kwa mujibu wa signature yako!
 
Labda tunatofautiana kupima uziri,mimi kwangu mwanamke anaejipodoa podoa,mara wigi mara bandika kucha ni marufuku bin haram
Sipingani na maono yako mkuu..ndio maana nimekwambia endelea kuziishi ndoto zako! Dunia siku hizi ni kijiji!
 
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
Heshima Mkuu!

Kwanini unasema wewe siyo mzuri?.Naomba udadavue kidogo Mzigua mwenzetu.Pia unaposema hana huo uzuri unaosema una maana gani/ipi?.Unaujua uzuri aliouzungumzia bukoba boy ?.
 
Lupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$ ningemfata huko huko US aliko,au nimsubirie akija likizo??

255cab49fc0d250aedf0a07b08972dc6.jpg

478f5df0825931c87702e6dc7fe60315.jpg

465618136[IMG]

2009388733ae020f9ae231f7812a836e.jpg
f0c6a012257ead8ac43383602299b61a.jpg
e5b6bb9a533a16fad39e5b1804479d5e.jpg
d4d0af725de7c7819d8b5856450c5112.jpg
Celebirty huyu atakutesa...jaribu kwanza kwa lacal celeb( kina wema sepetu) ukiweza panda ngazi kwenda kwa hawa international
Oscar winner,unajua donge analokabidhiwa mshindi wa oscar?
 
Celebirty huyu atakutesa...jaribu kwanza kwa lacal celeb( kina wema sepetu) ukiweza panda ngazi kwenda kwa hawa international
Oscar winner,unajua donge analokabidhiwa mshindi wa oscar?
Usifananishe uzuri wa mtoto lupita na huyo jamvi la wageni Wema.Lupita mzuri kwa nje mpaka kwa ndani.

Nyie ndio wale mnaobabaika na weupe wa mwanamke,mkuu we msukuma nini?
 
Sipingani na maono yako mkuu..ndio maana nimekwambia endelea kuziishi ndoto zako! Dunia siku hizi ni kijiji!
Heshima Mkuu!

Unaweza kunidadavulia kidogo juu ya maneno "Dunia kijiji"?.Maana yake nini?.Aliyelisema hili ni nani?.Kama si mtu mmoja basi ni Kikundi gani,Taifa gani nk?.

I think utanisaidia kuondokana na kile alichokiimba Bob Nesta Marley kuwa "Emancipate yourself from slave mind.."

Asalaam.
 
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia

Ha ha ha ha.. Kwanza sio mtoto ana miaka 34 sasa.. Pili hajamuona kwenye ile movie ya 12 years a slave, ingekuwa vzuri kama angemuona kule kwanza kisha ndo akaja kulinganisha na hizi alizojipodoa..
 
Heshima Mkuu!

Unaweza kunidadavulia kidogo juu ya maneno "Dunia kijiji"?.Maana yake nini?.Aliyelisema hili ni nani?.Kama si mtu mmoja basi ni Kikundi gani,Taifa gani nk?.

I think utanisaidia kuondokana na kile alichokiimba Bob Nesta Marley kuwa "Emancipate yourself from slave mind.."

Asalaam.
Ukuaji wa teknolojia umeifanya dunia kuwa kama kijiji na hivyo kutumika kama njia ya kueneza tabia na mienendo chanya na hasi miongoni mwa jamii..sina maana pana sana ya tafsiri hii lakini kama utapata nafasi itazame dunia kabla na baada ya kuja kwa teknolojia hasa mawasiliano! Sijui kama nitakuwa nimekujibu mkuu!
 
Umenijibu Mkuu!

Ahsante.
 
Mbona wa kawaida unapagawa na nini haswa........wapo ma-blackbeauty wakali kuliko hata Lupita ,huyo ni u-celeb tu unampaisha infact sio mzuri.................................labda machoni kwako..................kwangu sio mzuri
 
Back
Top Bottom