Lupita ni mzuri haijawahi tokea

Lupita ni mzuri haijawahi tokea

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Lupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$ ningemfata huko huko US aliko,au nimsubirie akija likizo??

255cab49fc0d250aedf0a07b08972dc6.jpg

478f5df0825931c87702e6dc7fe60315.jpg

465618136[IMG]

2009388733ae020f9ae231f7812a836e.jpg
f0c6a012257ead8ac43383602299b61a.jpg
e5b6bb9a533a16fad39e5b1804479d5e.jpg
d4d0af725de7c7819d8b5856450c5112.jpg
 
Huenda akija tukala wote mihogo huku hautatamani hata kumuona.
 
Kweeli mzee wake akisema utumike hata miaka 20 kwa reward ya huyo bibie ni poa tyu.![emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukishtuka kutoka kwenye hiyo ndoto nzr tuambiae...
 
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
 
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
Beauty lies in the eye of the _______ ,malizia dash hiyo dada
 
Mi sio mzuri ila Lupita hana huo uzuri unaosema. Tena hapo anaishi kistaa yuko hivyo angekua anaganga njaa kama sisi huku bongo hata ungemkuta njian usingemsalimia
unaeza kua sahh bt the gal she z so natural despite being a star which makes her so beutifully,,hakuna wadada wa tz wenye hela wakaish natural
 
Kweli kila mwanadamu anayo namna yake ya kuyachukulia mambo. Hivi uzuri wa mtu unapimwa kwa namna gani!! Si mbaya ila kwangu mimi huyu hajaingia hata kidogo kwa wadada wazuri ambao nimewahi kuwaona japo sikuwapiga picha.
 
Lupita huyu mrembo nampenda sanaaa yani ntafanya juu chini nimuoe kabisa!!na babake akisema nitumike shambani mwake miaka 7 nitamwambia hata miaka 14 si vibaya...huyu mtoto ningekua na $$ ningemfata huko huko US aliko,au nimsubirie akija likizo??

255cab49fc0d250aedf0a07b08972dc6.jpg

478f5df0825931c87702e6dc7fe60315.jpg

465618136[IMG]

2009388733ae020f9ae231f7812a836e.jpg
f0c6a012257ead8ac43383602299b61a.jpg
e5b6bb9a533a16fad39e5b1804479d5e.jpg
d4d0af725de7c7819d8b5856450c5112.jpg
Najua wengi watachukulia uzuri wa muonekano kwa sura na mavazi ila ukubari ukatae uyu dada anakitu cha ziada kichwani kwake na ndo sababu ya haya yote,UKO SAWA KUMPENDA
 
Back
Top Bottom